MP mmoja wa CDM ni sawa na MP kumi wa sisiemiii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MP mmoja wa CDM ni sawa na MP kumi wa sisiemiii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jun 21, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,975
  Likes Received: 37,566
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu wanajamiiforum kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya pale mjengoni utagundua jambo moja ambalo liko wazi kabisa.Jambo hili ni kuwa akisimama MP mmoja wa CDM na kuchangia hoja na kutoa mapungufu mengi ya wazi na kutoa mapengekezo yake na ingawa hata hawa waheshimiwa wa CDM nao huingiza siasa humo ndani basi si ajabu ikachukua zaidi ya waheshimiwa kumi wa sisiemii ndio afuate atakae kuja na mchango wa kukosoa na kutoa mapendekezo ya msingi kwani wengi wao kazi yao ni kuunga mkono hoja kwa asilimia miamoja na muda mwingi kupiga siasa.
  Habari ni hii akiongea MP mmoja wa CDM ni bora ukaendelee na shughuli zako kwani itachukua zaidi ya MP kumi wa sisiemii ndio aje MP mwingine wa sisiemii mwenye hoja za kusaidia mtanzania na mwenye kukufanya uwe na hamu ya kusikiliza.Kweli inaudhi sana.
  Najua wako MP wa vyama vingine ambao wakati mwingine huwa wanasaidia kuondoa kero ya kusikia mfululizo wa watu kuunga mkono hoja kwa asilimia miamoja pale wanapochangia mara baada au kabla ya hawa wa sisiemii hawajafuatana ktk kuchangia.
   
Loading...