Wasira anapiga uwongo wa wazi hadi bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira anapiga uwongo wa wazi hadi bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jun 20, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Akiwasilisha mpango wa maendeleo Wasira alisema uchumi wa Africa ulikua kwa asilimia 2% kitu iklichopingwa vikali na Mh Silinde kuwa inawezaje? uchumi wa Africa kupanda kwa asilimia 2 ilhali nchi za mwisho uchumi huo ulipanda kwa asilimia 3 ? cha msingi Wasira anatia propaganda hata kwenye mambo muhimu bila kujali nani anamsikiliza, ama alichoambiwa asome hakujuajua undani wake
   
 2. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Kadanganywa na mzee wa igunga nchemba mwigulu. Ambaye ajiita mchumi mwenye first class, wakati uchumi wa nchi unadidimia. Sasa hata mimba inadaiwa na wazungu. Nchembaaaaa!!. Upo?.
   
 3. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasira ni muumini mwenzangu wa Kanisa la Wasabato na huwa tunasali wote pale Magomeni Mwembechai. Sasa huwa nikimuangalia pale kanisani anavyo jifanya mnyenyekevu nikifikiria madudu anayo yafanya nje ya kanisa ukweli huwa nachoka kabisa. Ninacho taka kusema ni kwamba huyu jamaa analichafua jina la kanisa. Wasabato ni watu wanao heshimika sana na ni watenda haki na tulitarajia huyu jamaa kulitangaza jina la kanisa letu huko aliko kwa kutenda haki lakini yuko kinyume kabisa na mafundisho ya imani anayo ifuata.

  Nina muomba sana aamue kuwa Msabato mkamilifu au abaki Duniani na maovu yake. Sijui wanao mfahamu huyu jamaa kuwa ni msabato wanapata picha gani juu ya wasabato. Nahisi aibu sana.
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Msimlaumu, matatizo ya usingizi hayo. Analala facts zinapita.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  jamani huyo ni mgeni toka hifadhi ya gombe, alimtoroka dr jane goodall na kukimbilia bunda hahaaa tumrudishe kwenye hifadhi anatuharibia tu taratibu zetu mjini hapa
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Afutwe ushirika huyu!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Nipe namba ya mama yako nimpatie nasikia mama yako anaiweza sana shughuli ya kuwarudisha Gombe kama alivyofanikiwa kwa baba yako hadi leo tupo na wewe hapa.
   
 8. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nasikia adui Yake no.1 ni kioo
   
 9. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mwigulu ni kati ya wale wachumi copy n paste, kakopi madesa kakariri akahamishia kwenye UE. 1st class darasani, zero kwenye application.
   
Loading...