Magufulu,Balozi Mlango vipi hizi bilioni 300? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufulu,Balozi Mlango vipi hizi bilioni 300?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabato masalia, Jun 21, 2012.

 1. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hivi sasa waziri wa ujenzi bwana Magufulu na katibu mkuu wake anaemaliza muda Balozi Mlango wako katika heka heka kubwa kuiomba hazina iidhinishe bilioni 300 kwa ajili ya kuipa Tanroads ilipie madeni kwa makandarasi wa barabara, cha kujiuliza hizo barabara zenyewe ziko wapi? kama si utapeli kitu gani? ukichunguza kwa makini hayo madeni mengi ya Tanroads ni hewa, pesa nyingi anachukuwa Mtendaji wa Tanroads bwana Mfugale kupitia kampuni ya Chico na kugawana na wakubwa wake, Magufuli,Mlango na Mfugale muogopeni bwana Mungu jueni anawaona na atawahukumu mbele zake kwa dhulma mnayofanya. na wewe mchina wa chico unayetumika kupitisha hizo pesa ukome nakukemea kwa jina la kristo.
   
 2. D

  Divele Dikalame Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono madeni mengi ni hewa, tena huyu mfugale ana hatari kweli kweli kutumika kupora pesa za umma
   
Loading...