Bunge la jioni vp limehairishwa au kunani?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Nafungua TBC naina kuna miziki napenda kujua vp walisema watahairisha kikao cha jioni au
 
Wanaonesha kipindi cha wakimbizi wa Katumba. PENGINE wanaogopa kuonesha jinsi serikali inavochachafya na wabunge makini.
 
Star na Mlimani hazionekani huku kwetu. Ni T.b.nyinyiem pekee.
 
Hata mimi sielewi kunani nimetoka safarini fasta kuja kuangalia nakuta hola tujuzeni kunani kilijiri mchana.
 
Bunge la jioni limehairishwa, spika makinda baada ya kuona mwelekeo wa bajet ya chama chake sio nzur, ameagiza serikali ikajipange upya leo jion, kesho asubuhi saa tatu waje na mawazo mpya ya kuinusuru bajeti.
CPA(T)
 
TBC ??WEWE BADO UNAANGALIAGA TBC ANGALIA MLIMANI TV AU STAR TV

acha uzayuni
hata huko startv wanaonesha viduku tu...mlimani huwaga wanajiunga tbc, kwa hiyo kama tbc hawarushi basi hata mlimani hawana ubavu wa kurusha!!! shame on those stations....wanaogopa tena kurusha live mambo kama yale ya mnyika ...lol!!!
 
Spika katoa muda wa waziri wa fedha kwenda kujiaanda/kuweka mambo sawa kwa ajili ya kesho.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Wakuu vipi mbona bunge halionyeshwi, kunani?
Spika amegundua kuwa bar zinakosa wateja watu wanasingizia kuangalia bunge huku serikali inategemea bia kupata makusanyo ya kodi. Hivyo ameahirisha bunge watu mkapige ulabu ili kulipatia taifa kipato


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wameona serikali inapata hasara maana watu wengi hawaendi kunywa pia wanaangalia bunge wakati budget yao inategemea vinywaji kwahiyo wameona bora bunge lisiwepo kwa leo ili angalau ela iingie kidogo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom