Je, kauli ya Mnyika kubakai kwenye Hansard au la? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kauli ya Mnyika kubakai kwenye Hansard au la?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SubiriJibu, Jun 21, 2012.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Tumejadili sana siku mbili hizi kuhusu John Mnyika kutolewa Bungeni kwa muda wa siku nzima. Tumeona kuwa hoja ni kukataa kufuta kauli yake. Kwangu hoja si uhalali au uharamu wa hoja ile.

  Kwa na uelewa wangu ni kwamba kinachozungumzwa bungeni huwekwa kwenye Hansard kama kumbukumbu. Mbunge anapokiri kufuta maana yake anafuta kisionekane kwenye hansard. Mnyika angefuta ile kauli yake asingefukuzwa kikaoni na kauli ile isingeonekana kwenye hansard.

  Lakini kutoifuta kauli kukamfanya atolewe bungeni. Lakini hata wakati anatolewa Naibu Spika hakutamka kwamba kauli ile imefutwa kwa sababu mtoa kauli katimuliwa kwenye kikao.

  Swali langu hili, je, kauli ya Mnyika nayo imefutwa au itaendelea kubaki kwenye Hansard?
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Hansard haichakachuliwi itabaki kama ilivyorecordiwa initially
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  la msingi ni kile alichokiongea mnyika kubaki vichwani mwa waTz . hansard za bunge ni GAMBA TUPU!
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kauli yake inabaki vilevile,ila nna hasira na haya magamba kweli kwa wanachokifanya bungeni.
   
 5. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Imebaki
   
 6. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiko bomba sana hipo wapi hii
   
 7. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu ichikitu kimebaki katika vichwa vya watanzania kuwa rais wetu dhaifu, ccm ni upuuzi hakuna atakaye bisha katika hili
   
 8. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kwa uelewa wangu, hata angefuta,ingerekodi kwa mfano Na.100...Mheshimiwa ......amefuta kauli ya namba 98,bila kuiondosha
   
 9. L

  Lekakui JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,411
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndo imetoka hiyo itabakia hapo,ila kwa kuwa waliomwaga unga kwenye viti vya wabunge wakati ule bado yuko mjengoni sina shaka wataichakachua hiyo the so called hansard na kuifuta believe me or not
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama hajufuta kauli then itabakia kwenye Hansard. Hii itawasaidia sana watu wa CCM kupata kisingizio hapo baadaye. Wakija kushindwa watakuja kusema CCM haikuwahi kushindwa, bali tulipata mtu dhaifu kipindi fulani akatuangusha.
   
 11. b

  bdo JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Naipenda sana, naweza pata pair 1000 nigawe hapa kijijini kwetu, niambie na bei
   
Loading...