Do You Share This? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do You Share This?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ronal Reagan, Jun 21, 2012.

 1. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  ".... I have tremendous confidence about the long-term future. We're in a knowledge century. This is a century in which nations that will succeed are those that can create conceptual products, products of the mind. Israel is number one in the world per capita in producing more conceptual products than any other nation – by far more than any other nations. "

  "In absolute terms, we're not that far behind from the top. So we have a tremendous treasure, a tremendous capacity for innovation, for technology, and we should do very well in this knowledge century. I think the world will do very well in this knowledge century because the infinite possibilities of progress, of technology, of productivity, of curiosity, of freedom are there for all of us to enjoy...."

  To read full article follow this link http://www.israelnationalnews.com/News/News.aspx/157102
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Wenye mitazamo chanya hawaiogopi future, lakini wenye mawazo finyu, ya kibinafsi na yaliyodumaa karne hii na zijazo zitakuwa ngumu sana, na wana haki na wajibu wa kuogopa.

  Iwe Kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa ni muhimu, ni LAZIMA kuwa wabunifu. Ni wakati muafaka sasa kwa mtu moja kutumia upana, kina, urefu na uwezo wa akili zetu sio tu ili kujikwamua hapa tulipo sasa lakini hasa kwa mahitaji ya siku/miaka ijayo. Ni LAZIMA tujenge tabia, uwezo na utamaduni wa kuhoji, kujifunza (mema), kuwa wabunifu, kuwa jasiri na wenye weledi wa upendo wa dhati kwa kwa taifa hili. Tunu hizi zitajenga msingi imara wa mustakabali wetu kijamii, kiuchumi na kisiasa.

  Tofauti na hapo, iwe kwa mtu mmoja au taifa tutaendelea kuonewa, kunyonywa, kudidimia na pengine kuangamia kabisa.
   
Loading...