Unyonyaje budget -ni wapi imeandikwa wanasiasa ndio wanastahili mishahara na mafao makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyonyaje budget -ni wapi imeandikwa wanasiasa ndio wanastahili mishahara na mafao makubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jun 21, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh. wajumbe wa tafa letu ndali ya JF, nimejaribu kufatilia budget ya nchi yetu nimegundua waheshimiwa mjengoni na wa tawala katika halmashauri wanatumie pesa nyingi sana ktk mishahara na OC, sababu utaambiwa eti wabunge wanawasiliana na wapiga kura wao, mawaziri utaambiwa wanashughuli nyingi za kuorganise kwenye wizara. Pili wanasiasa wanajipa huduma nzuri za mabilioni ikiwemo magari ya kifahari na nyumba nzuri sana sana.

  Sasa swali la kwanza je wanasiasa wanamaduka yao tofauti ya kupata huduma, kwamaana kuwa wanavaa, wanalala na wananunua vyakula tofauti na wafanyakazi wengine?

  Swali la pili je daktari hatakiwi kuwasiliana na wagonjwa wake na wafanyakazi wenzie? je polisi hawawasiliani na polisi wenzie khs uharisu na wananchi pia? walimu hawawasiliani na wanafunzi na wazazi wao?

  JE HUU NI UUGWANA LA HASHA HUU NI UNYONYAJI
   
Loading...