Maoni ya kambi pinzani kuhusu budget yawa mada kuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni ya kambi pinzani kuhusu budget yawa mada kuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndekirhepva, Jun 21, 2012.

 1. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu naona magamba wanashindwa kuisemea budget ya serikali yao, wanabaki wanajadili maoni yaliyotolewa na serikali kivuli ya kambi pinzani, na mwisho wa siku wanaumbuka kwa kutaka kudanganya umma, ngeleja anafoka utazani kapakwa u.pupu
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ccm wanajifunza kuwa upinzani mapema
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  halafu alikariri.By the time akiingia ilishapitwa na wakati hiyo tabia ya kushambulia wapinzani.Ndivyo alivokuwa akipitwa na habari za umeme na madini.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  SISIEM inacheza defence style kwa wale wapenzi wa soka...hii ni hatari sana kwani inakaribisha mashambulizi golini kwake
   
 5. C

  Chacque J New Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi wakuu Lukuvi mtanzania kweli.,kazi yake ukinara wa magamba.,mbaya zaid hanyimwagi mwongozo,inabidi uhamiaji wafanye kazi yao haiwezakani atetee bajeti mbovu vile
   
Loading...