UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
chama cha madaktari nchini MAT kimeitisha mkutano wa kutoa mrejesho kwa madaktari na kada nyingine za afya juu ya mazungumnzo kati ya serikali na kamati teule ya madaktari.
kikao hiki kinaonekana ni cha siri mno lakini tutajitahidi kuwapa updates kadri inavyowezekana.

[h=6] Hakuna jipya, madai yote yametupwa kule. (1) Mshahara utapanda pamoja na sekta nyingine mwezi July. 2) Posho ya nyumba, serikali itajenga nyumba 700 ktk mikoa 70 na si drs wote watapewa nyumba wala posho ya nyumba. 3) Call allowance zitabaki kama waziri mkuu Pinda alivyozipandisha Feb. 4) Hardship na risk allowance serikali itaona ni jinsi ngani watatekeleza ktk bajeti ya 2013/14. 5) BIMA, serikali itajadiliana na wizara ya afya jinsi gani watakavyofanya na wakifikia muafaka watatueleza walichoamua. 6) Serikali imeandaa muundo wa kukopesha watumishi wa serikali kuu magari kuanzia bajeti ijayo ya 2012/13[/h]
 
pamoja sana wakuu..ila nasikia hivi vikao huwa bakhresa huwa anahunduria na kumwaga minoti ndo maana hawa jamaa huwa wakirudi wanakua wapole kama hawajui kinachoendelea
 
pamoja sana wakuu..ila nasikia hivi vikao huwa bakhresa huwa anahunduria na kumwaga minoti ndo maana hawa jamaa huwa wakirudi wanakua wapole kama hawajui kinachoendelea

bakharessa yuko jangwani sio huku!
 
yaelekea kwamba serikali imegoma kupandisha mishahara na maslahi ya madaktari kwa kuogopa ugomvi na kada nyingine.
naona mgomo mwingine unanukia.
 
Hii kauli ya huyu Mheshiwa sitaisahau:

Unaweza ukazini kwa siri,lakini

hauwezi ukaugua ukimwi kwa siri!
Tutajua tu! Hakuna siri chini ya jua hili!
 
mjadala unaoendelea unaashiria mgomo mwingine wa madaktari na kada zote za afya kutokea.
 
Mie nawatakia maazimio mema maana hii serikali inaleta masihara na maisha ya wananchi
 
Kwi kwi kwi teh teh teh! waulize wenzako waliokwenda Ikulu kama kuna kati yao ataetangaza mgomo. Kwanza bado wapo kwenye chama?

dr charles godbless ndio aliyewasilisha taarifa!unadhani wanatishia?
 
raisi atawadhoofisha madactari na hoja zao, yeye ni president weak.
 
Back
Top Bottom