"Tutakataa kimatendo na kimawazo. Hatutakuwa kama mwanzoni. Huduma zaweza kuimarika lakini zisiwe bora. Hatuwezi kuita tunachofanya ni mgomo kwakuwa hatua za mgomo halali hatujazifuata. Tutajua...
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara...
HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TZ! (Ajira mpya cheti)
Mwl 244,400/= Afya 472,000/= Kilimo/mifugo 959,400/= Sheria 630,000/=
Diploma...
Kama mdau na msomaji wa kila wiki wa gazeti la raia mwema nasikitishwa na kukithiri kwa matangazo kuliko habari za upembuzi yakinifu kama nilivyo zoea, ukitaka kuthibitisha kasome la wiki hii na...
TAARIFA KWA UMMA
Yah: Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kusitisha mgomo wa Madaktari Kufuatia Tangazo la Chama cha Madaktari nchini (MAT) la kuanza mgomo siku ya Jumamosi tarehe 23...
Chama kama Chadema kinaweza kuvuna wanachama wengi ikiwa tu watasimamia kwa uwazi urudishwaji wa Serikali ya Tanganyika ,Yaani kwa hapa tulipo karata ya kuirudisha Tanganyika ni dume...
• APUUZA USHAWISHI WA WASSIRA, LUKUVI
na Waandishi wetu
WAKATI bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013 ya sh trilioni 15, ikipita kwa kura 225 za ndiyo na 72 za hapana...
Hebu anagalia na sikiliza Mbunge Wa Iringa Akiongelea kuhusu Bajeti Yetu;
Hii Hapa;
Iringa kwa Kweli Hamkukosea. Good, Very Good.
Wana Magamba Mpo? Presha inapanda Presha Inashuka!
Thanks.
Mashuleni badala ya kufundisha mwawahimiza wanafunzi kufanya usafi pindi wafikapo viongozi wa serikali. Je, hamwoni ya kuwa mnachangia kufeli kwa watoto mashuleni? Nanyi viongozi wa serikali ni...
Posted on June 21, 2012 by zanzibaryetu
Ahmed Rajab
Mwenyekiti wa tume ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba na tume yake walipokuja kuitambulisha tume kwa...
Baba wa taifa Mwalim Nyerere tungekuwa na uwezo wa kukuomba urudi walau masaa 2 ujionee nchi hii inavoendeshwa, rithishana madaraka, ulaji wa national cake hakika tunauhakika huyu wa sasa...
Kuna waraka ulitolewa na serikali mwaka 2010, ukihusisha malipo ya muda wa ziada, kwa watumishi wa serikali wanaofanya kazi muda wa ziada baada ya saa za kazi (ukilenga zaidi watumishi hasa wa...
Wakati umefika sasa wa serikali kusikia kilio cha walimu cha miaka nenda rudi. Nakubali kwa asilimia zote kwamba walimu nao wagome. Haiwezekani mwalimu wa degree alipwe sana na mwenye certificate...
Nikiwa kama mdau wa sekta ya mawasiliano, jana nilisikitika kusikia waziri wa fedha anasema serikali ilikopa fedha nyingi ili kuwekeza katika Mkongo wa taifa wa mawasiliano Tanzania bara na...
Ndo wanaingia ukumbini. Na naibu waziri wa fedha kaanza kuwajibu wabunge maoni yao.
Huyu naibu chizi kweli eti serikali imetekeleza malengo ya milenia kwa kuwaweka wanawake wengi bungeni...
wabunge wa vyama vya upinzani wameikataa bajeti ya 2012-2013. lakini bajeti hiyo imepita kutokana na wingi wa wabunge wa CCM. kigumu chama cha mapinduzi!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.