wameenda wapi wabunge 54 kwenye kupilisha budget? uchaguz wa wabunge E.A walikupo wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wameenda wapi wabunge 54 kwenye kupilisha budget? uchaguz wa wabunge E.A walikupo wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Jun 22, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  idadi ya wabunge 54 kutokuwepo kwny maswala ya msingi ni udhaifu unaendelea kwa watanzania kufanya maamuzi kwa kususa au kuacha kushiriki . tabia hii inakua na imeendelea hata kweny chaguzi kubwa . chukulia mfano uchaguz uliopita. watanzania tuwe serious kweny maswala ya msingi. mwenye list ya wabunge wasiokuwepo aiweke watanzania tuwajue na sabab zao
   
Loading...