Mbunge aliyepokea rushwa - ikoje?

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
531
225
Wadau naomba anayefahamu kuhusu mbunge aliyepokea rushwa anijuze, kama anahudhuria vikao vya bunge vinavyoendelea? Sheria inasemaje mbunge anapokuwa na kesi inayofanana na yake?
 
Angekuwa wa CHADEMA angeshaswekwa mahabusu na bungeni asingekanyaga. Lakini kwa sababu ni magamba hakuna lolote hapo
 
Mkuu mbona hata wabunge wa CDM wenye kesi mahakamani wamo bungeni....! Naye yumo. Uchunguzi bado unaendelea.
 
Back
Top Bottom