Vita vya kagera tulifunga mikanda na je hili la mgomo wa madaktari tumefunga mkanda!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita vya kagera tulifunga mikanda na je hili la mgomo wa madaktari tumefunga mkanda!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jun 22, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa binadamu mwenye akili timamu hawezi kushangilia mgomo wa madaktari kwani wote ni wahanga wakiwepo madaktari wenyewe.Cha kujiuliza ni kwanini serikali iseme malalamiko yao ni ya msingi halafu haioneshi jitihada za kutatua mgogoro huu unaogharimu uhai wa mwanadamu!
  Hi ni kama vita na kama nia na sababu zipo gomeni na wananchi waamue kufunga mikanda au kumtimua nduli serikali dhaifu ya wadhaifu wa ccm.
   
Loading...