Wabunge Tanzania: Huwezi kutumikia mabwana wawili MUNGU na mali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Tanzania: Huwezi kutumikia mabwana wawili MUNGU na mali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anophelesi, Jun 22, 2012.

 1. a

  anophelesi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 80
  Hatimae wakati umewadia ule wa kuona neno hili likitimia. Yetu ni macho na masikio huko Dodoma!!!! Nasikia na 'makinda' yameongezeka hadi 10,000,000/= hata kabla ya bajeti ya mwaka mpya 2012/2013 kupita. kaaaaaaaazi kweli kweli!!
   
Loading...