Hukumu kesi ya viongozi wa chadema tuhuma ya kumpiga dc igunga yaairishwa tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu kesi ya viongozi wa chadema tuhuma ya kumpiga dc igunga yaairishwa tabora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mjuaji, Jun 22, 2012.

 1. m

  mjuaji Senior Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi inayowakabili Mbunge viti maalamu CHADEMA Morogoro SUSAN KIWANGA na mbunge wa Maswa Sylivester Mhoja Kasulubayi A.K.A YESU WA MASWA na wengine wawili imeairishwa hadi 20/7/2012.Wanachama wa CHADEMA walikuwa wamejaa mahakamani toka saa moja asubuhi. NaWanachuo wa SAUT TABORA walikuwepo wakiongozwa na KAMANDA MUKAMA.Hakimu kasema hukumu inaendelea kukamilishwa.Watuhumiwa hao waliongozana na MREMA WA CHADEMA,NA WABUNGE WAFUATAO.DR MBASA,.CHRISTINA LISU..CONCHESTA RWAMLAZA.NA PHLIPO MTULAMO..chanzo nilikuwepo mahakamani.
   
Loading...