Unafiki wa Wabunge wa CCM kujulikana leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki wa Wabunge wa CCM kujulikana leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MALUNGU, Jun 22, 2012.

 1. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ndiyo tutajua kama ilikuwa ni hadaa kwa wananchi ama vipi maana ataitwa mbunge kwa jina lake na kusema kama aniunga mkono bajeti au anaipinga. Nani kati yao atajitoa mhanga?
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wabunge wa ccm lazima waipitishe maana wakikataa bunge likavunjwa basi imekula kwao.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Lazima waipitishe hao wanafiki sana.
   
 4. E

  ELIESKIA Senior Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwan wameshaanza kupitisha vifungu tujuzen mliohewan
   
 5. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Itapita kwa kishindo kikuu...
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Lazima waipitishe wanafiki.
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tangu lini ccm imesimama upande wa wananchi? Naungana na dr.ulimboka kwamba serikali hii bila kashkash haiwezi kusikia
   
 8. h

  hbaba New Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itapita tu
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  wala hii thread haikupaswa kuletwa hapa kuna mtu anategemea kwa wabunge hawahawa wa ccm hii hii na vichwa vilaza hivihivi chini ya m/kiti mr Dhaifu huyuhuyu unatarajia budget isipite??
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni vyema ukawaorodhesha wote watakaosema YES ili tutembee na hayo majina mifukoni.
   
 11. j

  jitu1 Senior Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sad thing is ni wananchi hao hao ndio waliowachagua kuwawakilisha Bungeni. Majority of Tanzanians, especially in rural areas bado wako usingizini. Voting against their own interest.
   
 12. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itapita kama miaka ya nyuma hamna mabadiliko hadi tuwaweke CCM pembeni
   
 13. N

  Newvision JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanafiki hawa huwa hawana ujanja ni kupitisha tu
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli maana walio wengi hawana uhakika wa kurudi bungeni endapo uchaguzi ukirudiwa
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hili tatizo linatokana na maslahi binafsi!
   
 16. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  duu! waheshimiwa shibuda ameikubali hii inaonekana kabisa ni msaliti!
   
 17. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Filikunjombe, Mpina na Esther Bulaya (imani kwa waziri na sio serikali dhaifu) wamejipambanua toka CCM. Kafulila, Shibuda na Hamad Rashid wamethibitisha kuwa ni vuguvugu
   
 18. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wabaya kuliko hata waliokubali moja kwa moja. Inauma sana waheshimiwa hawa kuingia mtini.
   
 19. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  hakuna sheria inayolazimisha bunge kuvunjwa kama bajeti ya serikali haitapitishwa, ila umbumbumbu wa magamba kujiona wao ni superpower
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  CCm itaendelea kututesa sana hii nchi kama hatua maalumu za kuwaelimishwa wananchi hasa vijijini hazitachukuliwa...
  inasikitisha kuwa sisiem wanapata kiburi wapi cha kufanya mambo bila kuogopa mzigo wanaowatwika wananchi???
   
Loading...