Prof. Anna Tibaijuka waziri wa ardhi wa Dar es Salaam tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Anna Tibaijuka waziri wa ardhi wa Dar es Salaam tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, Jun 22, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  alikuja kwa kasi ya ajabu tukajua tatizo la uvamizi wa hifadhi ya ardhi na maeneo ya wazi yaliotekwa au kuporwa yatarejeshwa na waporaji kuchukuliwa hatua za kisheria alakini wapi.mama kama uliletwa bongo kwa shughuli maalum ya kisiasa basi utakua umekosea sana kwani bongo yote imeoza na walio ozesha ndio hao waliokupa kazi sasa sijui kama kuna jipya utakalo weza kufanya kitu hapo.ushauri wangu na wewe ingia tu kwenye hiyo dini chafu ya wizi ili usitoke kapa pindi utakapo pigwa chini.hukuwahi kwena Arusha wala kuja Mwanza au sehemu yoyote ile kutatua au kushughulikia tatizo au matatizo ya ardhi au shughuli zozote zile zinazohusu ofisi yako.sasa unataka kutuambia nini kama wewe nae sio tatizo??? inamaana matatizo yapo dar tu???
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  huyu mama anafanya shughuli zake Dar tu
   
 3. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Amechemka kwa kweli. Maana mtu alikuwa HABITAT na mbwembwe na uzoefu wote huo lakini kwa kweli mpaka sana hatujaona chochote. Hatujaona.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  huyu mama anafikiri shughuli ni Dar tu. Dhaifu
   
 5. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Kigamboni imemshinda, mpango umeanza 2011-2020 kavukavu
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hizi speed alizokuja nazo huyu mama ni kama za MH DHAIFU alizokuja nazo enzi za kuanza urais..mara kavamia sokoni ghafla, mara yuko hospitalini ghafla, mara katoa mabilioni mwisho wa siku chaliiiiiiiiiiii
   
 7. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakuna awezaye kujiunga na serikali ya chama hiki halafu abaki effective. Kuwa waziri katika serikali dhaifu ni kujimaliza.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hamna kitu kabisa ndo maana hat kule UN HABITAT wakenya walimu outshine
   
Loading...