Crisis replacement of opposition party - chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crisis replacement of opposition party - chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by newmzalendo, Jun 22, 2012.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  HAVE YOU EVER WONDERED ,WHAT WILL REPLACE THE OPPOSITION PARTY IN TZ AFTER CHADEMA IS IN POWER.

  ninahofu na mashaka na CHADEMA kuchukua dola,je chama kipi kitakuwa chama kizuri cha opposition bila kuleta Vurugu,Vita,ukabila ,udini na uchochezi.

  so Far CHADEMA has been doing a good job as a major opposition party,without causing any public violence,ukabila etc.

  JF members as much as most members wish to see CHADEMA in power,we also need to consider the replacement of CHADEMA, in a way its a form of succession plan. lets discuss
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  em andika kwa kiswahili hapo kwenye aya ya pili, hasa hiyo sehemu ya kwanza (kwenye hiyo aya ya pili) kabla ya mkato.
   
 3. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhan NCCR-Mageuzi wakijipanga watafanya vyema. NYINYIEM ITAKUFA KAMA KANU-KENYA.
   
 4. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ngumu kueleweka. Ngoja waje wenye first class zao hapa.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni mmoja wapo Great Thinkers humu.

  Kimsingi umenikuna sana na kunishangaza mnoo pia jinsi gani darubini yako ilivyoanza kunasa picha za mbali ajabu huku ukiwa na lengo zuri mno kwa taifa letu kutfutia jibu baadhi ya maswali mazito kitaifa ambayo bado hayako wazi sana kwetu hadi hivi sasa.

  Big up mkuu!!!


   
 6. D

  Dabudee Senior Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Serious issue this you know sir?
   
 7. G

  Gurti JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ccm itakuwa chama kikuu cha upinzani.
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CCM kitakua chama kikuu baada ya uchaguzi then uchaguzi utakaofuata kitakua kimekufa kifo kibaya na kitakua kikionekana tu kwenye vitabu vichache vya historia,
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  No wonder ccm will be, because they will correct their mistakes.

  But lets pray for cdm
   
 10. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  CCM wasiokuwa magamba na wana UVCCM wasiolamba buti za mafisadi wajitahidi kuimarisha CCJ.NAPE MWAKYEMBE, SITTA,mpo?
   
Loading...