Bajeti 2012/2013 na mustakabali wetu:

cedrickngowi

Senior Member
Jun 9, 2012
148
23
Waziri wa fedha anatoa mlolongo wa takwimu akitetea kukua kwa deni letu na kwamba bado tuna nafasi ya kukopa zaidi!Guys,nadhani issue ilikuwa tuambiwe zimetumika vipi fedha zilizokopwa na si uwezekano wa kuendelea kukopa!Our generations will inherit nothing but undefined debts.
 
Back
Top Bottom