Waziri Prof Muhongo... You better be smarter... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Prof Muhongo... You better be smarter...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jun 22, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nimemsikiliza waziri akijigamba kuwa anataka Tanesco iweze kuunganisha umeme ndani ya mwaka mmoja tangu maombi yatumwe!!!

  Prof, are you aware of the core problem kuhusu kuunganishiwa umeme?

  Najua prof unaongelea kwamba nikishalipia umeme, na information zangu zikiwa tayari ofisini Tanesco, basi nifungiwe umeme ndani ya mwezi mmoja, sio?
  Hivi prof unajua kuwa inachukua miezi hadi miaka, na hongo nyingi hadi tanesco kutuma fundi kwa mteja akapime, na kutathmini garama za mtu kufungiwa umeme. Haya yanatendeka kipindi kabla jina la mwombaji halijaulizwa huko Tanesco, sembuse kuandikwa.
  Je, Prof unajua kuwa unachukua miezi hadi miaka na hongo za hadi ya mamilioni tokea unapopimiwa hadi pesa yako (maombi) yanapopokelewa? Utaenda na ela yako, utaambiwa kuwa hatupokei fedha kwa sasa kwani maombi tuliyo nayo ni mengi. But ukitoa hongo inapokelewa na umeme unapata. Otherwise unaweza kupiga ruti hapo hata miaka miwili. Imenitokea mimi na imewatokea wengi ninaowafamu. I know what I am talking.
  Kama huamini prof, kaongee na waliofungiwa umeme huko mawilayani wakupe details, na nakupa mfano wa wilaya moja; ROMBO.

  Prof kama kweli una nia ya kulitatua tatizo hili, fanya kama Mwakyembe; siku moja nenda huko mawilayani, au chukua simu yako piga kwa mameneja watano wa wilaya ukijitambulisha kama mteja unayeomba kuunganishiwa simu usikie.

  Weka form ya kuomba umeme online, na kwenye kila ofisi ta TANESCO. Mtu anapotaka kuomba kupimiwa umeme, ajaze kopi tatu. Moja aitume kwako kwa fax/email/posta, nyingine aipeleke ofisi ya mkuu wa wilaya, nyingine awape Tanesco. Then control mda wa fomu kujazwa na kuwasilishwa, hadi kupimiwa na baada ya kupimiwa apewe invoice (time bound) ya malipo. Alafu weka form ya kulipia online na kwenye ofisi za Tanesco. Kama mtu ameshapimiwa, na ana ela ya kulipia, then ajaze from, na akalipie direct bank, na awasilishe form tu Tanasco milayani au tarafani. From there mtu apate umeme ndani ya mwezi mmoja.

  Alafu Prof, kwa nini tunauziwa nguzo, bolt, waya, dereva, gari ya kubeba nguzo, lunch ya mafundi nk? Kwani hawa watu hawalipwi mshahara? Mbona nguzo za zege zingekuwa bei rahisi zaidi, kama huku kwetu miti haioti?
   
 2. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Good! Umenena yaliyo ya kweli. Pia umetoa suhuhisho zuri sana. Nimependa ushauri wako. Kama akifanya hivi atafanikiwa. Kinyume na hapo system yote ni rotten.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo hajui kwamba tanesco watakuambia kwamba hawana usafiri hivyo utoe pesa ya usafiri kwa surveyors, ukijitolea kuwachukua kwa gari lako to and fro, wanakuambia hawawezi kupanda hilo gari, ukishatoa pesa hiyo pesa ya usafiri wanayoidai, utawaona wanakuja na gari la tanesco, worse enough, hizo pesa za usafiri hazina receipt! nchi inanuka reushwa na ufedhuli!
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nakuunga mkono mkuu
  nadhani sasa hatuitaji tena nguzo za miti,maana nchi zilizoendelea zinatumia mlingoti iliyotengenezwa na zege haisikii moto wala maji,
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wala mchwa...
   
 6. doup

  doup JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mimi nilitoa laki 2(japo inaniuma), moja ya survey na moja ya mafundi, umeme nilipata ndani ya week mbili, can u imagine? na walikuwa wananitafuta wao kuja kuunganisha.

  Ndugu yangu yeye ilichukua miezi sita, pamoja na influence zake huko wizarani, lakini wapi wale mafundi ni wabishi sana hata apate order ya bosi wake watapiga danadana tu.

  ni mindset zetu ndivyo zilivyo kaa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hongera sana ndugu yangu. Mi walikula laki 3 kupunguza idadi ya nguzo kutoka 4 hadi 3. Wakala laki 4 kukubali kupokea malipo. Wakala laki 2 kuniunganishia ndani ya miezi minne. Jumla laki 9. Jamaa yangu niliyeanza nae mchakato, hadi leo miaka 2 hela yake haijapokelewa. Wanamwambia bado wana list ndefu ya waombaji so hawapokei tena ela kwa sasa.
   
 8. E

  ELIESKIA Senior Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi kwa kuongezea ushaur wako badala ya kulipa on line ilipwe kupitia benk na kuwe na akaunt maalum ya uinganishaj umeme
   
 9. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  hey hey Prof yupo very clear... na kaanza kuisafisha Tanesco quickly.....na pili he had only 10 mins kuelezea
  direction ya wizara nzima... so Tanesco kaigusa tu... Na transparence ndio itakuwa key ktk uongozi wake plus speed
  .... mambo yake yanaeleweka sana sana like Mwakyembe, Magufuli....
  Amesema kama umelipa na hukuunganishiwa umeme within a month... toa report haraka kwake binafsi or wizarani
  AKIJUA HUJUMA NA HONGO UNAZOSEMA JINSI
  ZINAVYOKWAMISHA KAZI NYINGI ZA WIZARA NZIMA ESP. Tanesco.... na alitamka wazi wiki 2 zilizopita kakuta madudu mengi Tanesco....na tutaona mabadiliko makubwa soon.....
  Ni mtendaji mzuri mno... mno....
  ILA UMETOA USHAURI MZURI KUHUSU JINSI YA KULIPIA THROUGH FILLING THE FORMS Kimtandao NA KWENDA BANK KULIPA KUUBGANISHIWA UMEME... HII ITARAHISISHA KUJUA KIMTANDAO WANGAPI WAMELIPA NA WANGAPI HAWAJAUNGANISHIWA WITHIN TIME FRAME HIYO YA MWEZI MMOJA NA WAZIRI ITAMRAHISISHIA KU QUESTION....

  Otherwise yupo safi sana Prof.....   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Let me trust you mkuu..
   
 11. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi sana yaani miimi nasubiria kumsikia atasema nini maana CV tumeiona na kuikubali kuwa Rais hakukosea sasa ni vitendo vyake ndivyo vitathibitisha uwezo wake wa kazi. Halafu mimi huwa napenda sana watu wa vitendo kuliko maneno mengi kama alivyotamka mwenyewe siku ya kwanza.

  Mheshimiwa. Waziri, Watanzania walikuwa wamechoka sana na Wizara pamoja na watendaji wako huko mikoani na mawilayani. Wewe sukuma huko pembeni mtu ambaye hawezi kazi kisha tumia elimu yako sasa tuondokane na tatizo la umeme. Hapo utafanya heshima kubwa sana kwa jamii ya wanadhuoni wote walioko Mlimani na Costech na ndipo watu watarudi kuheshimu na kuona umuhimu wa kusoma.

  Mimi nampa assigment mbili tu:

  1. Achambue mikataba mibovu ya madini na atseme bungeni ubovu ulikuwa wapi na je tunaweza kufanya nini sasa
  2. Kuhusu utendaji hafifu wa Tanzesco na kwa nini usiwepo ushindani mkubwa nchini kusambaza umeme kwa ufanisi kila mahala tupene kama ilivyo kuhusu simu.
   
 12. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mhongo ameanza kuwa Prof. wa uchumi - anaanza kuamini katika ceteris paribus..........
   
 13. t

  the horse JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa wanaomfahamu Prof watakubaliana na mimi kuwa sasa wizara imepata mtu wa sawasawa, anayasema yale kwa kuwa anayo mikakati na mipango thabiti ya kuyaimplement.,Bahati mbaya Prof sio mwanasiasa, so he don't go for politicking.,ni mtu wa study na ku-deliver...!
   
Loading...