Natangaza kugombea ubunge kupitia CCM 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza kugombea ubunge kupitia CCM 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsabhi, Jun 21, 2012.

 1. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Natangaza kugombea ubunge kupitia ccm mwaka 2015 ili niweze kuwatumikia wananchi kwa mambo yafuatayo:
  1. Kusinzia bungeni
  2. Kugonga meza bungeni
  3. Kuwatukana wabunge wa upinzani
  4. Kuwazomea wabunge wa upinzani
  5. Kuikosoa bajeti ya serikali na baadaye kuunga mkono hoja kwa asilimia mia moja
  6.Kuwaambia wapinzani wakapimwe akili
  7.Kujifanya kwamba nchi haiwezi kutawalika bila ccm
  8. Kuwahadaa wananchi kuwa barabara za Tanzania zinajengwa kwa fedha za ccm.
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  BILA KUSAHAU KULIA bungeni ukizidiwa..!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Jimbo gani? kila la heri though
   
 5. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kutupa kabrasha za upinzani bungeni.
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  umekosa cha kuandika ukamua upotee muda humu jf
   
 7. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Kumpongeza rais kwa safari za nje kutafuta wewekezaji.
   
 8. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umekosa cha kuandika ukaamua upoteze muda kujibu hoja ya mpoteza muda?
   
 9. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  utakuwa umekosea sana kwani kipindi hicho CCM itakuwa chama cha upinzani na CHADEMA itakuwa chama Tawala,hivyo labda utakuwa unagonga kuwashangilia wabunge na mawaziri wa CHADEMA. madam una haki hiyo kazi njema lakini jipange kwani nguvu ya umma haiwaelewi.
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Umepata, andaa rehearsal na attires
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  umepita kwa kura ya ndio...
  zidumu fikra za mwenyekiti
   
 12. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Duh! hii kali ya mwaka! lakini umejitayarisha kiasi gani ' in terms of' pombe za kienyeji, wali na nyama,kofia, kanga na fulana kwa ajili ya kuwarubuni wapiga kura wenye njaa?
   
 13. T

  TUMY JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila la kheri, natumai wapiga kura watakupa kura kwani una hoja.
   
 14. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kwenye ho mr emmy , katiba mpya huwapati
   
Loading...