Mkuu bado tunasubiri kesho yako haijafika??kuna cd huwa zina uzwa kila mikutano inapofanyika..hata hivyo kesho ni warushia kama kutakuwa hakuna mtu atakae kuwa amerusha...
hiii hapa
hiii hapa
Ipo yote mkuu, labda kama nili upload with errors au wewe ndo umedownload with errorsMbona kama imeanzia kati?any way!shukran!km kuna zingine tuwekeeni!tunazihitaji sana.