wabunge: elimu

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
bunge la kenya limechukua maamuzi magumu na kupitisha sheria kwamba wabunge wote lazma wawe na kiwango cha chini cha elimu kwa kiwango cha SHAHADA.
sasa, je bunge la tanzania wanalichukuliaje hili?, maana kwa sasa kweli kuna ulazima wa wabunge nao wachujwe kwa kiwango cha elimu, maana mwenye elimu ya darasa la saba hawezi kua na weledi na ufahamu kama mwenye shahada!
najua hili likifikishwa mjengoni itakua ni balaaa, kuna wabunge watapinga kwa nguvu zote huku mapovu yakiwatoka midomoni na majasho yakiwatiririka mwilini!.
my opinion ni kwamba kweli ifike wakati wabunge wawe na shahada (degree) na madiwani atleast a diploma.
wewe una maoni gani?
 
Hili linatakiwa liwekwe kwenye katiba mpya na hivyo Wabunge wa kuanzia 2015 ni lazima wawe na degree/diploma. Wabunge ambao hawakwenda shuleni hawana uwezo wa kupanga hoja bungeni au kuuliza maswali muhimu na pia huendeshwa kama gari bovu na chama chao cha magamba na hivyo kutoweka mbele maslahi ya Tanzania na Watanzania. Matokeo yake wengi wanaenda kuchapa usingizi au hawahudhurii asilimia kubwa ya majadiliano bungeni.
 
  • Thanks
Reactions: GP
Back
Top Bottom