Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa mambo ya nje wa ujerumani amesema nchi yake inahimiza utawala bora duniani hivyo itajitahidi kupambana na ufisadi popote duniani. Source: Habari DW
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ataka mahakama ya itakayosimamia haki za waislam hasa wanaopoteza haki ya kuoa na kuolewa
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Nimesoma post iliyotumwa jana na mwana jamii forum aitwae “omutwale”. akihimiza wana kagera kuamka na kuiga moto wa mabadiliko wa mageuzi na kuachana na ccm kama mikoa mingine ya kanda ya ziwa,na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dhana ya utawala bora ilikusudia kuwakomboa wananchi ktk umaskini kwa wao kushiriki kikamilifu. ili kutimiza azma hii elimu bora ilihitajika. siku moja nilipata kusikiliza hotuba ya rais F...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania sasa ni moto. Maisha yamekuwa magumu sana. Madaktari wanagoma, walimu nao wapo njiani. Kila kona watu wanalalama maisha magumu. Sijui la kufanya. Viongozi wengi wamekaa kidili dili tu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Uchukuzi Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa hakupata kusinzia njia nzima, wakati akisafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwa treni, kwakuwa anafanya utafiti wake. Waziri Mwakyembe...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Duniani tunapita,usitumie fursa ya kuishi uliyopewa na mungu kuwaumiza wengine.Hebu jiulize itakuwaje wakikutana huko mbinguni komredi chacha wangwe na regia mtema wakikumbushana habari za chadema...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sir Andy Chande akiwa na Rais Jakaya Kikwete. Andy Chande akiwa na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. ...Andy akiwa na Mzee Mwinyi. ...Chande na Karume. ....Chande na Sumaye.Na Elvan Stambuli JAMII ya...
0 Reactions
3 Replies
21K Views
Jamani wana jf ningependa kujua maendeleo ya mbunge wetu kipenzi coz it has been so lond duration bila infor yoyote from any source! Pls anaejua atujuze!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
" HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMMA WA TZ! ( AJIRA MPYA CHETI) MWL 244,400/= AFYA 472,000/= KILIMO/MIFUGO 959,400/= SHERIA 630,000/= DIPLOMA...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Bandungu zangu wanaJF. Nimekuwa nikiwaza kila siku na kwa kweli kwa miaka nenda miaka rudi; maana naona tutakako kwenda hakuendeki. Na kimsingi, nashawishika kuwa tutabaki kupiga "Marktime" tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa kiongozi wa upinzani rasmi bungeni Mhe. Mbowe ni kwamba Pinda amezuia kufanyika kwa chaguzi za serikali za mitaa nchini hadi hapo CCM itakapomaliza chaguzi zake ndani ya chama! Mbowe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mbunge kasema kuwa eti wachaga ndio wameleta umaskini huko kwao kusini.. Sina uhakika kama kafuta kauli yake ama la.. Ila mimi namshauri aanzishe movement ili wajitenge na kaskazini kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa kumi na moja,manispaa ya Shinyanga,CHADEMA,wamefanikiwa kupata viti 7 kati ya 11,na CCM,wakiambulia vinne! Mitaa hiyo ni:- 1:Lubaga Farm 2:Mbuyuni...
6 Reactions
100 Replies
9K Views
Hivi inawezekana UDHAIFU wa JK ndio umesababisha wezi wa EPA kusamehewa, kutokamatwa kwa wauza unga na wakwepa kodi japokuwa majina JK alisema anayo, kutoshitakiwa kwa mmiliki wa kagoda, kudai...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nitaishitaki CCM Mahakamani, Bado najadiliana na wakili wangu kuhusu hilo. Nia ninayo, Uwezo ninao, na Sababu ninazo. ... Baadhi ya mashitaka yatakayoainishwa ni: Kupigwa kibao nikiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa falsafa ya mwalimu kuhusu mwenge yali base katika sera ya ujamaa na kujitegemea! Sasa hivi CCM wametuingiza katika sera za kibepari kimya kimya na wanatumia umbrella ya falsafa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule mbunge,sijui anaitwa nani,the gentlewoman from Lindi, amewataja baadhi ya watu ambao wameisumbua Lindi. Huyu ni mbunge wa miaka sita,lakini mimi nilikuwa simfahamu. Lakini kesho nadhani kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Some people have started to cheer following Mh. Pinda's statement stipulating the CC ceiling ranges for public big potatoes cars'. I also want to join them but before jumping into dancing, please...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Chadema mmekuwa wakosoaji wazuri wa kero mbalimbali zinazoikabili jamii yetu. Mmekuwa msitari wa mbele katika kupambana na masuala ya ufisadi, hili ni jambo jema lakini msiishie hapo tunatarajia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom