Siri yafichuka kwanini madaktari bingwa wa muhimbili hawagomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri yafichuka kwanini madaktari bingwa wa muhimbili hawagomi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jun 27, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Siungi mkono mgomo wa madaktari na pia siungi pia serikali dhaifu isiyojua kuwa swala la afya ya watanzania ni jukumu lake.
  Nimesikitika sana wagongwa wa fast tract ndo wanopata huduma muhi2 na hao wanaonwa na madaktari bingwa wakati akina kabwela wakiteseka kwani ndo wanaopata huduma toka wa madaktari wa kawaida waliogoma.
  Gazeti la tanzania daima nalipongeza kwa kuweka wazi kuwa wenye pesa ndo wanaopata huduma muhimbili ila nawasikitikia wagonjwa hoa kwani nao wanatoa pesa nyingi na huduma wanyopata ni duni kwani vifaa vinavyotumika ni za muhimbili na zimekuwa adimu.
  This country is out of tract long ago!!
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kwani vifaa vinavyotumika ni za
  muhimbili na zimekuwa adimu
  kama pembe kwa punda
  hapo kwenye blue cjaelewa unamaanisha nini?
   
 3. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ni msemo tu wa mitaani ila nammanisha vifaa hakuna watati mwingine mifukomya mikojo,
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani!!!!!!!!! nina hasira mimi.... why mtu usikae chini ukatulia kabla hujapost? unakimbilia nini?
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu kanywe chai kwanza, punguza presha za asubuhi utupe habari inayoeleweka.
   
Loading...