Kasimu Majaliwa lifanyie kazi hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasimu Majaliwa lifanyie kazi hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr Mayunga, Jun 27, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Walimu tunafanya kazi katika mzingira haya
  .Hatuna vitambulisho vya kazi tulio wengi.
  .Barua za kusibitishwa kazini
  .TSD No
  .Kadi za bima ya afya hatuna,wakati hela tunakatwa n.k
  hebu fuatilia Rufiji fanya utafiti mashuleni,ukipita halmashauri watakudanganya, hivyo vitu ni muhimu sana kwetu.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Walimu wengi wanavyeti vya kufoji ndio tatizo Lao kubwa linalo wafanya wawe waoga Kama fisi
   
Loading...