Posho za vikao za wabunge zifutwe na mishahara ya wanasiasa ipunguzwe kulipa madaktari na walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho za vikao za wabunge zifutwe na mishahara ya wanasiasa ipunguzwe kulipa madaktari na walimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magistergtz, Jun 27, 2012.

 1. magistergtz

  magistergtz JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa muda mrefu sasa serikali imekuwa ikilipa benefits kubwa, posho kubwa na mishahara mikubwa kwa wanasiasa huku ikiacha wafanyakazi wa ngazi za chini kama madaktari na walimu wafe kwa njaa.

  Hivo kisingizio kwamba hela hazitoshi kuongeza vima vya mishahara si cha kweli, tatizo la serikali ya JK ni vipaumbele.

  Haitambui mchango wa wafanyakazi labda wanasiasa tu. Kwa nini wabunge walipwe posho za vikao wakati hiyo ndo kazi yao kuu? Mishahara wanolipwa ya nini? Basi kama alivosema Dr. Slaa hata walimu walipwe posho ya kuandika ubaoni, posho ya kusimama darasani.......!!!!!!!!!!!

  Kisingizio cha udogo wa badget ktk katika hali hii hakikubaliki. Tatizo ni serikali kutotambua umuhim wa hawa wafanyakazi!
   
Loading...