"if you have done your very best but failed, why dont you resign?"

MgungaMiba

JF-Expert Member
Aug 28, 2011
999
815
Swali la msingi sana Lissu amemuuliza Pinda, baada Pinda kudai amefanya kila aliloweza kumaliza mgogoro wa Madaktari. Sasa Mzee Mkuu kama umemaliza uwezo wako na tatizo limekushinda, si ujiuzulu? Sikiliza Pinda alivyojibu; " Mimi ni Mkubwa kwako, hiyo si approach nzuri ya kuniuliza!"
 
Resignation is an alien vocabulary to CCM!

Ndiyo maana hadi leo Edward Lowassa anaitwa WAZIRI MKUU MSTAAFU Kwi kwi kwiiiiiiiiii
 
Swali la msingi sana Lissu amemuuliza Pinda, baada Pinda kudai amefanya kila aliloweza kumaliza mgogoro wa Madaktari. Sasa Mzee Mkuu kama umemaliza uwezo wako na tatizo limekushinda, si ujiuzulu? Sikiliza Pinda alivyojibu; " Mimi ni Mkubwa kwako, hiyo si approach nzuri ya kuniuliza!"
Halafu unataka nitembee njiani bila ving'ora kama Mamvi?
 
Jamani mbona hili ni swali la kawaida kabisa? Kwanini viongozi wetu wanapenda kutukuzwa? Kama umefanya jambo kwa muda bila kupiga hatua yoyote ya maana maana yake uwezo wako umefikia mwisho, leave it up someone else. Mambo ya heshma yanatoka wapi? Heshma haiombwi, you earn it.
 
pinda ni hovyo long time,kwanza aliliongopea bunge kuhusu mauaji ya arusha,aliliongopea bunge before kwa kujifanya anamwaga chozi la mamba kuwalilia albino,leo anaambiwa ajiuzulu anasema hajaheshimiwa...what a pathetic pm we do have?yaani kwake kujiuzulu ni tusi?st**id.
 
Kwa nchi hii Kujiuzulu kunataka moyo na uwe na mkwanja, la sivyo mzee mzima anaweza akaumbuka
 
Back
Top Bottom