Waziri wa JK na naibu wake wahujumiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa JK na naibu wake wahujumiana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bilionea Asigwa, Jun 28, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  NI NYARANDU NA KAGASHEKI(MALI ASILI NA UTALII)

  Katika moja ya vituko vya hii serikali yetu ni hivi vya kufanyiziana hata kwenye mambo ya msingi ya taifa.

  **NYALANDU ala njama wawekezaji wasilipe kodi TANAPA katika hoteli za kitalii ni jumla ya tsh billion 17 kwa mwaka (‘concession fee)
  **Aendesha vikao vya wizara kwa siri bila Kagasheki kuwa na taarifa  **Bodi ya TANAPA yamruka mita mia


  Hizi ni hujuma za mara ya pili.
  Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.

  SOURCE: GAZETI LA JAMHURI
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  nani mmiliki wa gazeti hilo la JAMHURI??
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Ila Nyalandu naye ana speed ya ari mpya kasi mpya na nguvu mpya! Chami hakumjua vizuri mpaka alipodondoka chali
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  nyarandu ukimwangalia tu unamjua mwizi, nimetokea kumheshm tu kagasheki, i hate waziri mmj hv
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Barozi Kagasheki Khamis ni moto wa kuotea MBALI, he knows to hit where it hurts the MOST.
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yetu macho. Kama hili lipo basi tutasikia mengi hadi 2015
   
 7. T

  Turbulence Senior Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nyalandu: Mzee wa sifa za kijinga. Kama humjui unamwona mtu wa maana sana. Sijui oh, you know nilisoma marekani, oh, naenda sana ng'ambo. Ovyo kabisa.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  kama vipi jk afumue baraza la mawaziri.!
   
 9. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Acha wapasue majipu yalio iva
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  kagasheki amshukuru kubenea alipoandika kuwa hadhi na uzoefu wa kagasheki sio wa kuwa naibu waziri chini ya masha...a few days later jk kampa full wizara ya maulaji na presha
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hilo gazen niliwah kusomna hapa nikaona kuna mdau akisema linamilikiwa na MEMBE,ila nyalandu alishawah hata kkutajwa hapa tena kwa ishu ya kusafirisha nyara huko singida
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hilo gazen niliwah kusomna hapa nikaona kuna mdau akisema linamilikiwa na MEMBE,ila nyalandu alishawah hata kkutajwa hapa tena kwa ishu ya kusafirisha nyara huko singida lakin hebu tujiulize nini kazi ya waziri na ipi ya NAIBU????
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hilo gazet niliwah kusomna hapa nikaona kuna mdau akisema linamilikiwa na MEMBE,ila nyalandu alishawah hata kkutajwa hapa tena kwa ishu ya kusafirisha nyara huko singida lakin hebu tujiulize nini kazi ya waziri na ipi ya NAIBU????
   
 14. al1983

  al1983 JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Wacha wararuane maana ukweli utabakia kuwa ukweli siku zote. ngoja wamwage mboga na ugali ili tujue madudu yao na tuweze kuwahukumu vizuri 2015
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sarakasi zinaendelea...hivi lini tutafanya mambo ya msingi na yenye tija kwa taifa?Shame on you unategemea hiyo wizara iwe na tija kweli?
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  uzumbukuku tu huo,,,yule nae sijui walomchagu aliwarubun nini
   
 17. U

  Uswe JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  toka aingia madarakani keshaunda mabaraza manne maane, i mean hiyo itakua kama mara ya tano anaunda baraza
   
 18. D

  Don Draper Senior Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu ndio yule nyalandu aliyekuwa na kesi ya KUBAKA kule USA au mwingine?
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CCM inasumbuliwa na mgawanyiko na makundi. Na wasitafute mchawi kuwa kuna mtu anawahujumu, wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe. Na kwa mtindo huu mambo hayataenda na sisi wananchi tutaendelea kusota kwa ujinga wao.
   
 20. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Alikuwa ni mtaalamu wa kumtafutia Mkuu mademu alipokuwa anazuru huku enzi zile akiwa mambo ya nje
   
Loading...