Madhara gani hutokea kwa taifa lisilotenda haki kwa raia wake..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara gani hutokea kwa taifa lisilotenda haki kwa raia wake.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BJEVI, Jun 28, 2012.

 1. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Habari JF,

  Ni wazi kuwa hakuna mtu asiyependa kuona haki ikitendeka kwake na kwa jamii inayomzunguka.Kwa muda mrefu hapa TZ haki za raia zimekuwa zikidhulumiwa ama kwa kujua au kwa kutokujua kulingana na mzingira ya mhusika.Tumeshuhudia watu wakiua wengine na kuwanyima haki ya kuishi mfano mauaji ya ALBINO,watu wakibambikizwa kesi,kuvunjiwa makazi bila hata kufidiwa,WIZI WA RASILIMALI ZA TAIFA bila hata wahusika kuchukuliwa hatua kwa sababu ya kulindana n.k.madhara ya ukiukwaji huu wa haki kwa taifa ni pamoja na:

  1.Wakuu wa nchi kudharauliwa hadharani kama kuitwa DHAIFU,kupigwa mawe,manung'uniko yasiyoisha kutoka kwa watawaliwa na mengine mengi yasiyo pendeza...

  2.Changamoto zisizoisha na zisizokuwa na majibu kwa mfano migomo,ukosefu wa ajira,ufisadi,magonjwa na hata watawala utakuta na wenyewe ni wagonjwa,udhalimu,umaskini n.k ....

  3.WATAWALA KUWA NA ROHO NGUMU/KIBURI/KUJIKWEZA/UPENDELEO TENA WA WAZI N.K....


  SWALI.
  wana JF

  Nini kifanyike kuokoa Taifa lisiendelee kukumbwa na madhara zaidi kama ilivyo hapa TZ kwa kutokujua umuhimu wa kutenda au kusimamia utendaji wa haki kwa raia wake ?.JE! RAIA WAVUMILIE ILI KUSUBIRI HURUMA ZA MWENYEZI MUNGU...NINI KIFANYIKE????
   
 2. M

  Masabaja Senior Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ondoa JK DHAIFU na Mtoto wa mkulima FISADI na kuanza upya katika misingi tutakayokubaliana namna bora ya kuendesha TAIFA
   
Loading...