Migogoro ya Ardhi Kinondoni -Kikwete Kikwete-mbona Nyerere haikuwa hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migogoro ya Ardhi Kinondoni -Kikwete Kikwete-mbona Nyerere haikuwa hivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sheky, Jun 28, 2012.

 1. s

  sheky Senior Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bibi Asha ambaye amezungushwa kwa miaka mingi amefika mahali pa kulalama na kueleza rushwa ilivyotawala mamlaka za Ardhi (Kinondoni) na vyombo vinavyopaswa kufanya maamuzi. Kubwa ni kuwa katika kushangaa kwake amefika mahali akilinganisha Ikulu wakati huo na sasa haelewi aseme nini ila amebaki kusema. Anatakiwa aondoke kwa kuwa tu ni maskini na wenye hela wanapahitaji. kubwa ni pale ambapo anaishangaa hata mamlaka ya juu kwa kusema

  "Kikwete, Kikwete-- mbona ilikuwa tunajua ukifika IKULU basi lazima mamlaka itatoa haki, vipi leo... Kikwete ..."

  Source ITV: malumbano ya Hoja. 28.07.12
   
Loading...