Kumbe Zenj kuna mbio za kupokezana vijiti kama ya Uamsho Masheikh sasa zamu ya politicians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Zenj kuna mbio za kupokezana vijiti kama ya Uamsho Masheikh sasa zamu ya politicians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jamesbond007, Jun 28, 2012.

 1. jamesbond007

  jamesbond007 Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ‎"Nadhani mnaoangalia mijadala ya Baraza la Wawakilishi mmeona kuwa tuna kazi ya kufanya kwanza ili twende pamoja. Pamoja Daima hadi Jamhuri ya Watu wa Zanzibar yenye kutambuliwa kitaifa na kimataifa isimame na kisha kuwa na Muungano wa Mkataba na Jamhuri ya Tanganyika chini ya misingi ya haki, usawa na kuheshimiana"!

  Maneno hayo ni ya Mwakilishi, Ismail Jussa Ladhu. Brilliant Mwakilishi makini" by Khaleed Gwiji!

  Yaani masheikh sijafahamu kama masheikh kazi yao imekwisha ama ndio strategies za kuikombowa Zanzibar?

  Duuu! ama kweli arobaini zako zikifika huna jinsi you must give up! kwaheri Muungano kwaheri Ukoloni! yaanni kuna bathi ya watu wamediriki pia kusema zenji iko chini ya BACK BOERS!
   
Loading...