Hivi ndivyo utawala wa CCM ulivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo utawala wa CCM ulivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndevu mzazi, Jun 28, 2012.

 1. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  [​IMG]

  [​IMG]

  je tutafika?
   

  Attached Files:

 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Jamani haya mateso ndani ya nchi yetu hadi lini? tunasubiri tufe wote ndio tuchukue hatua?? nooooo i say nooo enough is enough!
   
 3. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shame upon them.
   
 4. a

  andrews JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hivi hii ni tanzania au? Maana sielewi tunapoelekea
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ..nikiwa primary miaka ya 80+ nilikuwa natumia mifuko ya rambo kubebea daftari nakumbuka darasa la kwanza hadi tatu ukichelewa dawati ni lazima ukae kwenye jiwe maana yalikuwa manne tu darasani, leo hii imepita miaka 30 bado mambo ni yale yale. Je Tutafika?
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,666
  Trophy Points: 280
  Serikali hii haikubaliki tuungane ili tuitokomeze.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Pinda amethibitisha kauli mbiu ya CCM ni LIWALO NA LIWE kuwa mtu anaweza chota pesa kwa maamuzi rahisi tu ya LIWALO NA LIWE, ..Inasikitisha Sana!
   
 9. k

  kitero JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwamiaka 50 ya uhuru tumejitahidi kuwakusanya pamoja mkitupa tena miaka hamsini tutakalisha ujenzi wa madarasa na kuweka madawati pamoja tutaweza.
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanafuzi wa kike ndo maana hawafanyi vizuri darasani kwa sababu muda mwingi wana-concentrate kuji binya binya vyupi vyao visionekane kwa kukaa chini!
   
 11. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,021
  Likes Received: 37,754
  Trophy Points: 280
  Kweli kusikia ni tofauti na kuona.Hiyo picha ya wanafunzi ni ya kusikitisha sana.Kibaya zaidi watu wanatanua na mashangingi.
  Hata Misri,Tunisia,Yemen,Libya na sasa Siria mitandao kama hii ilisaidia watu kujua hali halisi.
  Sisi sio kisiwa na wahusika wajifunze kwa wenzao.
   
 12. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  DU hivi zile ahadi za watawala wa CCM kwa miaka 30 hazijamaliza hata katatizo kadogo ka madawati hii ni aibu ,na misaada tunapewa kila siku kwa kugawa dhahabu zetu ,bora tungetengeneza madawati ya dhahabu
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  tanzania kuna utulivu tu si amani ...ipo siku kitanuka hii nchi
   
Loading...