Kwa nini maharamia hawa wasiwe wanawashughulikia mafisadi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Mimi ningekuwa nawasapoti sana iwapo wangekuwa wanawatafuta mafisadi wakuu wanaotajwa kuwakamata na kuwafanyia vitendo vya unyama kama vile walivyofanya kwa Dr Ulimboka.

Kwa kweli ukilinganisha na madokta, hawa mafisadi hawafai kuishi kwani wao ndiyo wanaikosesha serikali pesa za kuboresha huduma za afya na nyinginezo.

Ningependa waanze na huyu jamaa...... halafu afuate huyu..... na huyu..... na huyu....
 
laana ya baba wa taifa inaitafuna nchi, bado laana ya walala hoyi inakuja, angalia viongozi walivyo jilimbikizia mali umma hawana utu mioyoni mwao, vichwa vigumu misili ya fisi pori, mwalimu nyerere haku jali nafsi yake kama ilivyo kwa hawa wakiugua mafua wana kwenda kutibiwa ulaya ndiomaana hawamjali daktari, amani ipo wapi?
tumuombe mungu atunusuru na hawa viongozi ambao hawana hadhi yakuitwa viongoz ni vidokozi inasiktsha.
 
Back
Top Bottom