WACHUMI:JE KWA SASA SERIKARI INAWEZA KULIPA KADRIMATAKWA YA MADAKTARi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WACHUMI:JE KWA SASA SERIKARI INAWEZA KULIPA KADRIMATAKWA YA MADAKTARi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by blacktanzanite, Jun 28, 2012.

 1. b

  blacktanzanite Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wachumi tuekeni wazi hivi kwa sasa serikari ikitekeleza matakwa yao inawezekana?na kama itawezekana ni kwa namna gani?nashindwa kuelea maana kwa jinsi bajeti inapopitishwa tunaona ufinyu mkubwa katika seka husika na bado wachumi hawatoi mapendekezo yao.kwa ujumla serikari inashindwa kutoa maamuzi yaukweli kama haiwezekani waseme ili wananchi wajue cha kufanya.toeni siasa na mfanye uwekezaji katika afya.nchi zote zenye uchumi mzuri ndizo zinazothamini watumishi na raia wake.kama hamna uchumi unadhani afya itapatikana wapi???
  madaktari angalieni madai yenu na wakati tulionao ni vema mkawa wazarendo kwa kuungana na wananchi wote kuupinga uongozi wote wa ccm na hapo kujenga serikari itakayojali maslai yetu kuliko kuuana wote tukia na majera moyoni kwani wananchi wanyonge anakufa wewe unapata nini???
   
Loading...