Mbunge CUF; Washirika wa CCM ni CDM na wengine lakini sio CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge CUF; Washirika wa CCM ni CDM na wengine lakini sio CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 28, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni mbunge wa CUF bi Rukia Ahamed alipokuwa akichangia hotuba ya Bajeti ya Waziri mkuu. Na kusema katika ukurasa wa 39 wa bajeti ya kambi ya upinzani kuwa imesema CCM na washirika wake wamechangia kuwaletea Watanzania Umaskini. Na kwenda mbali na kusema kuwa washirika wa CCM ni baeaza kivuli la upinzani sio kama walivyotajwa na kambi ya upinzani, ikionyesha wazi akipinga dhana ya CCM B kuhusishwa na CUF.

  Mbunge wa NCCR akaomba taarifa akamwambia wapinzani hawaundi serikali. Cha ajabu bi Rukia akaikataaa kwa jazba.

  Concern;
  Moto wa CDM umechoma waliomo na wasiokuwemo
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mama nimemsikia bhana,ila kuna mdau amempinga sijui anaitwa NANI
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Namskia makinda anasema kuna waheshimiwa MWAONGOZO
   
 4. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shibuda hayupo pekee yake!
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni uhuru- cuf ni ccm b
   
Loading...