Kwanini namsapoti mnyika

ALEX PETER

Senior Member
Jan 17, 2012
117
23
252677_358184927583278_831269494_n.jpg
[h=6]hakika mwalimu alikuwa na upeo japo pato la taifa kwa wakati ule alikuwa kubwa kama sasa ila angalau aliweza kuipeleka nchi mahala pake kama kweli rais wetu siyo dhaifu jiulize hiki kitu,kipindi kile hapakuwa na teknolojia lakini mwalimu aliweza kuiendesha nci na kutufanya sisi wote tuwe wamoja, hapakuwa na shule nyingi lakini elimu yetu ilikuwa bora, tulikuwa na viwanda vingi kwa hiyo watu wetu walipata ajira, hatukuwa na matumizi makubwa maana rais alikuwa asafiri hovyo na wala hatukuwa na ndege ya serikali, thamani ya shilingi yetu ilikuwa juu siyo kama leo, kilimo chetu kilikuwa cha manufaa maana tulikuwa tunalima kikanda mfano tanga katani kilimanjaro chai, hatukuwa na mafisadi wala wahujumu uchumi maana walishughurikiwa ipasavyo, swali kwenu wadau je mfano rais wetu huyu wa sasa ndo angeongoza kipindi kile angeweza kufikia hata robo ya aliyoyafanya baba wa taifa, kama sasa hivi ana kila kitu lakini ameshindwa je ingekuwa miaka 60 ingekuwaje? Kwann tuendelee kutanguliza ushabiki wa kisiasa wakati taifa linaangamia kwann naendelea kukubaliana na hoja ya mnyika kwamba rais ni dhaifu kama kweli siyo dhaifu kwann anashindwa kuwashughurikia wezi wa mali za umma, kama kweli ni jasiri kwann anakula saani moja na wahalifu natamani hata hii nchi tungekuwa kama tunisisa kwann wenzetu wana uthubutu, nakumbuka enzi za mwalimu aliweza akatoka na kukemea hadharani lakini hayo yote sikuhizi siyaoni zaidi ya propaganda zisizo na msingi na uhaiini usio isha hivi ingekuwa kama enzi zile angeweza kumfunga yule mgiriki aliyesema kwamba serikali yote ameiweka mfukoni mwalke angeweza kweli kumfunga kama kikwete alivofanya[/h]
 
Back
Top Bottom