Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni apata Ajali

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205
Waziri fenela mukangara amepata ajali igunga mkoani tabora na amelazwa hospitali ya nzega tabora:

Source: Rfa news
 
Taarifa nilizozipata punde zinaeleza Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni kapata Ajali Mbeya akiwa njiani kuelekea Mza huko Nzega alipokuwa nasubiriwa kufungua kikao.


More Details soon, kwa walioko Nzega mnaweza kuongeza DETAILS HAPA
 
Taarifa nilizozipata punde zinaeleza Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni kapata Ajali Mbeya akiwa njiani kuelekea Mza huko Nzega alipokuwa nasubiriwa kufungua kikao.


More Details soon, kwa walioko Nzega mnaweza kuongeza DETAILS HAPA
Mkuu, jaribu ku-edit post yako kabla ya kuirusha JF tafadhali. Mbeya, Nzega, Mz ........
 
Dr Fenela Mukangala ni Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni na Naibu wake ni Amos Makalla. Waziri wa Elimu ni Shukuru Kawambwa, na ni Naibu wake ni Mulugo.

Tafadhali, angalieni tena hii taarifa.
 
Madoctor wote wamegoma !!!
"Aisifuye mvua imemnyea"
Aisee hii imetulia,inaitwa "Twanga Kotekote" madr. walipogoma ,wakafa wananchi,Dr.ulimboka kapigwa wakasema safi sana kwa sababu ndiye kiongozi wa mgomo naye aone utamu wa mgomo,sasa zamu imefika kwa wao,huku madr. wamegoma.Tuone kama watarudia kutokuwa lipa madr. haki yao.Mungu anaamua kuwaonyesha.Nafikiri akipona atakuwa balozi mzuri sana wa matatizo ya madr.
 
Sasa hapo ndiyo itajulikana kama mgomo wa madr ni kwa walalahoi peke yao, au ni hadi wale wenye nazo.
 
Mheshimiwa Sipika hawa madaktari watu wabaya sana nadhani ni wanachama wa kama si Chadema,ni Alhshababu au Uhamsho naona serikali yetu sikivu ikawatimue wote Liwalo na Liwe
Mheshimiwa Sipika baada ya kutoa shukrani zangu sasa natoa kero ya jimboni kwangu, Jimboni kwangu igunga hatuna hata Dispensary moja , Daktari ndio kabisa sijui kwa nini hatuletewi , kwa hiyo naomba Waziri Mkuu atuletee angalau jamani kadaktari kamoja maana watu wanakufa kwa kukosa tiba , hata wakienda kwa Babu Loliondo msongamano ni Kilomita 10
Mhesimiwa Mama Sipika naunga hoja kwa pasenti 500
Amina
 
Huyu lazima wampeleke Kenya au southafrica kwa ndege ya kukodi fasta. Kama kutegemeaa hapa Tz imekula kwake.
 
Jana Profesa Maji marefu alifrahia kipigo cha Dr. Uli bungeni je na hii ajari anasemaje?
 
Nikweli waziri kapata ajali lakini hajaumia sana alikuwa anatokea igunga kwenda Nzega na ajali imetokea katika kupishana na basi inadhaniwa atakuwa ameisha ondoka Nzg kwenda kupata matibabu stahiki
 
Back
Top Bottom