Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jun 27, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maandamano kwa Dar es Salaam yataanzia karibu kituo cha Haki za binadamu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii kesho saa tatu asubuhi mwambie na mwenzako kama yaliyowapata wapigania haki wengine yanakugusa tafadhali fika bila kukosa na huu ni mwanzo wa kuiambia serikali hakika tunaweza kuwaadabisha.
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  pamoja
   
 3. a

  akelu kungisi Senior Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika taarifa hii isambazeni kwenye mitandao ya cm za mkononi na kwenye vituo vya redio tukapinge uharamia huu! SAA YA UKOMBOZI NISASA!
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pamoja sana. FFU wanaruhusiwa kuandamana?
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  bora tufuate nyayo za Tunisia.
  Jakaya out.
   
 6. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwa nini iwe kesho? nini kimewafanya mfanye maandamo hiyo kesho?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nani kaandaa hayo maandamano?
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  mwisho wa maandamano itakua GYMKHANA CLUB karibu na ikulu
   
 9. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  x NI VIZURI KUELEZA KWA UFASAHA.
  NANI KAANDAA MAANDAMANO??
  NINI MADHUMUNI YAKE?
   
 10. a

  akelu kungisi Senior Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mlioandaa haya maandamano wekeni sawa hii kauli kwa kuwa issue ya Ulimboka ina pubilic interest, ka hivyo itawavuta wengi zaidi kuupinga uharamia huu! hamasisheni watu wote waingie majiani!
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  umma wa tanzania isipokua vibaraka kama nyie ndio ulioandaa
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wananchi
   
 13. m

  mob JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  haya maneno yameshakuwa mengi sasa ni wakati wa walk the talk
   
 14. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy jibu hilo miguuni mwako
   
 15. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Badilisha heading basi
   
 16. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Saa ya ukombozi ni sasa. Huu mtiririko wa matukio ni wito wa kuikomboa nchi. Serikali haiwezi kushinda umma. Kiukweli hata rais Zuma aliposhindwa na sheria, umma ndo ulimsaidia kulaani na kuondosha ile picha inayoonesha uume wake. NAUNGA MKONO MAANDAMANO. POWER TO THE PEOPLE
   
 17. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunaandamana kwa faida ya nani? Polisi nadhani watazuia maandamano haya HARAMU
   
 18. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwamba umeelewa sasa
   
 19. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,398
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  yanaanzia hapo..yanaelekea wapi??
   
 20. j

  jigoku JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mleta mada wazo lako ni zuri sana lakini ili kuwe na mwitiko mzuri ni vema taarifa ziwe sahhi kwa kutuelewesha nani anaratibu maandamano hayo,nani atahitimisha kwa hotuba,saa ngapi route ni ipi?theme ni ipi.na upanuliwe wigo wa kuyatangaza maandamano haya.
   
Loading...