Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Ktk hali isiyokuwa yakawaida Rais anakikao na baraza la usalama wa Taifa! Tusubiri majibu. Mungu ibarik Tz
 
Nchi hii haiwezi kuwa na baraza la usalama wa taifa. Katika mazungumzo yao nadhani wataijadili hali ya Dr. Uli na wale vijana watafukuzwa kazi kama sio kuamuliwa wauwawe maana hawakumaliza kazi waliyopewa mna inaonekana Dr. Uli amewatambua baadhi yao.
 
Hawatakuwa na jipya zaidi ya kwenda kulaumiana tu!


Ingependeza sana nikasikia wale Boko haramu wa huko Magharibi wamewatokea hapo watakapokuwa!

Tuna hasara sana na serikali DHAIFU + LEGELEGE kama hii iliyoko madarakani.
 
Rais dhaifu, na usalama Wa taifa dhaifu, serikali dhaifu, na chama tawala dhaifu tena mufilisi, chenye mawaziri dhaifu, spika dhaifu na kilaza Wa hali ya juu, na wabunge dhaifu na vilaza wa kutupwa.
 
hahaaaaa JK bwana yaani anajifanya hajui nani kamjeruhi Dr.Ulimboka !!! Jk bwana mbona unanichekeshaaaa
 
anakaa nao kikao ya nini wakati hao ndio majambazi wenyewe. Leo ndio Mkuu wetu wa nchi amekurupuka na kuona kua hali ya usalama wa hii nchi ni mbaya alikua wapi siku zote?
 
Rais dhaifu, na usalama Wa taifa dhaifu, serikali dhaifu, na chama tawala dhaifu tena mufilisi, chenye mawaziri dhaifu, spika dhaifu na kilaza Wa hali ya juu, na wabunge dhaifu na vilaza wa kutupwa.

nawe pia dhaifu hilo ulikubali
 
Anataka kuwaambia nini?
Atawaambia madaktari waliokubali kuajiriwa na serikali kwa masharti na viwango vilivyopo vya mishahara ambao sasa hawaridhiki navyo waache kazi na kutafuta ajira mahali pengine ama wajikusanye kuanzisha hospitali zao binafsi, kwa amani na utulivu.
 
Back
Top Bottom