Zanzibar just now hali ya hatari

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
945
189
Nimefika sasahivi Zanzibar, ninachokiona LIVE ni mbio za Polisi na Wananchi waliovalia kiarabu cha ajabu wanaelekea North ya Zanzibar town eti Uamsho wanakutana hapo katika Viwanja vya Lumumba je Mkutano ni halali au haramu? magari mengi yenye kelele na bendera za Uamsho
 
Duuuuuuu!!!!!!!

Jinamizi ameingia Tanzania, yaani kila kona ni vurugu tu;

Hawa watu akili zao zimekamatwa na mtu mwingine HAZIPO KATIKA UBONGO WAO KABISA.



MIZAMBAW
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa amani ya nchi, polisi watumie busara, waache wananchi watumie haki yao ya kidemokrasia ya kukutana na kutoa mawazo yao. polisi walinde amani tu.
 
Nipo hapa Viwanja vya Lumumba wamejaa askari kila pahala pa kuingilia na hamna pa kuingilia ndani wamejaa polisi na waandamanaji wa Uamsho wamerudi mbio kuelekea maeneo ya Malindi wakisema maneno ya Kuruani mi sielewi
 
Uamshoooooooooooooooooooooooooooooo.......

Things fall apart (Chinua Achebe)
 
Intelijensia haijafanya kazi wakati huu kweli vyombo vyetu vya usalama vimeshindwa kazi kuna bandiko MMK alitoa humu nadhani 'its high time IGP step down' sababu alipotufikisha ndo hapo awaachie na wengine wasukume gurudumu la maendeleo ya taifa letu na sio dhambi kuachia ngazi ni suala la uwajibikaji tu na uzalendo kuliko kuendelea kung'ang'ania wakati hakuna kitu kipya anaweza fanya au kubadili hali halisi.
 
Acha wakutane, wazungumze tutaona nani atakuwa na ubavu wa ku-implement maazimio yao.
 
Nimefika sasahivi Zanzibar, ninachokiona LIVE ni mbio za Polisi na Wananchi waliovalia kiarabu cha ajabu wanaelekea North ya Zanzibar town eti Uamsho wanakutana hapo katika Viwanja vya Lumumba je Mkutano ni halali au haramu? magari mengi yenye kelele na bendera za Uamsho

Hao jamaa wana bendera yao!? Kazi kwel kwel!
 
Wananchi tunapohisi KUDHULUMIWA na wale watu tunaowaamini kutuongoza ndio kama hivi kila kona ya nchi!!!

Rudisheni fedha upesi kwenye mzunguko wa uchumi wetu toka huko mafichoni Uswisi muone kama mambo hayatoboreka mara moja tu
.

Waliotorosha fedha kibao nje ya nchi ndio chanzo cha matatizo haya yote ndani ya mipaka yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom