Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by komredi ngosha, Jun 29, 2012.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wana jf,

  Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
  Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi. Kiutaratibu vyombo vyote vya ulinzi vilipaswa kufanya uchunguzi

  Katika uchunguzi wao viongozi wote wa madaktari walitakiwa kuchunguzwa masaa 24 haya yafuatayo:
  1. Wanajadiliana na kupanga nini
  2. Wanawasiliana na nani na kuongea nini
  3. Wako wapi na wanafanya nini

  Narudia, ni ktk masaa yote 24 na hii inahusisha vinasa sauti, eavesdropping, suprise meetings(kama huyo abeid wa ikulu), top classified field agents ktk taxi, wapiga debe, barmaid etc.
  Pia kungekua na physical suspect tracking, kuwafatilia wako wapi na wanafanya nini muda wote.

  upelelezi wote huu kitaaluma ungesimamiwa na vyombo vitatu tofauti, kila kimoja kikijiendesha kivyake kwa ajili ya kua na fair analysis wakati wa kumshauri mkuu wa nchi
  1. Usalama wa Taifa
  2. Idara ya ujasusi jeshini
  3. police

  kama taratibu hizi hazikufanyika, Tanzania haiko salama!

  ushahidi wa kuhusika serikali
  1. Abeid kutoka ikulu
  2. Kuvamiwa Leaders (kumbe walikua wanamfatilia)
  3. Watekaji kudai kawasumbua(ni kweli walikua na hasira kwa kuwalaza nje kumfatilia masaa 24)
  4. Gari halikua na Plate no kusafiri umbali mkubwa(sio ishu sana), ila hizo bunduki na mazingira ya nyumba walizompeleka ni safe house
  5. Kipigo alichopewa ni very pro, walipiga kama wanampiga jasusi mwenzao. (sina uhakika ilikuaje hawakutumia umeme)
  6. Mabishano namna ya kumuua, kama ni kwa sumu au ajali(Kwa mfumo wetu wa ulinzi kama nilivyosema awali unahusisha vyombo vitatu tofauti. Napata hisia waliungana kumtesa ila kumuua wakatofautiana, kila chombo kina kiongozi wake na anafanya kazi kivyake bila kushirikisha upande mwingine)
  7. Hakukua na maandalizi(kawaida ya serikali hii haipangilii mambo na viongozi kuamua kwa pamoja kama wanamuua ulimboka au hapana)


  kama nimechemka, wanausalama wenzangu mtanisaidia
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Serikali inahusikaa kwa kila kitu, ingekuwa haihusiki then why kila mtu ana mashaka na Serikali??Dhaifu(JK) na Mwema achieni madaraka faster, So far hamna hata kitu kimoja kilichosemwa.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Hiki kipigo cha Dkt. Ulimboka na mgomo wa madaktari si coincidence. Mimi naamini kabisa kuwa serikali ya CCM inahusika moja kwa moja. Hao viongozi wa serikali wanajifanya kusikitika na kukemea lakini mimi naona huo ni usanii na unafiki tu.

  Wamem-single out Ulimboka ili awe mfano kwa wengine na lengo lao kuu ni kuwatisha hao matabibu ili waogope na hatimaye waache kuendelea kufanya hiyo migomo.
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Plan ilikuwa:
  Ulimboka anapigwa na kuuawa,
  mwili unaokotwa mabwepande,
  Polisi wanaingilia kati investigation,
  wanatafutwa waliokuwa nae for the past 24hrs,
  Wajumbe wote wa kamati ya jumuiya ya madaktari wanakamatwa,
  Key people wa MAT wanakamatwa,
  wote wanawekwa ndani kusaidia polisi upelelezi,
  Madaktari waliogoma wanachanganyikiwa,
  Pinda anatoa mkwara mzito na madaktari wanakosa mwelekeo,
  mgomo unafika mwisho,
  Pinda na serikali yake wanaibuka kidedea.
  Kamati ya mgomo inasahaulika mahabusu!
  Just trying to decode the plan the government had.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Tume wastukia sasa Wanahaha
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  They were caught off-guard after learning that things went astray, Ulimboka survived!
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Whoever ordered the kill was not smart.
  Whoever took the order was the dumbest.
  One cannot send 3,4,5, people to execute one target.
  Amongst the assassination gang, there was/were some who were pro-doctors!
  It can easily be explained.
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ripoti ya chama cha madokta, MAT na ile ya Jumuiya ya madaktari hakukuwa na sehemu waliyoitaja serkali kuwa inahusika.
  Lakini waziri wa mambo ya ndani, NCHIMBI alikanusha kuwa serkali haijahusika na Assassination attemmpt on Ulimboka.
  Nani ali-accuse serikali?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata siku moja serikali yeyote duniani ikakubali kuhusika na mauwaji ya raia wake kwahiyo kukanusha ni kitu tulichokuwa tunakitarajia kutoka kwa wakina Nchimbi
   
 10. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  Mkuu umechemka sana na hii Analyais yako, kama ambavyo ulivyotaka kutuaminisha kua unathitibisha kuwa serikali inahusika, cha ajabu pamoja na hizo arguments zako ktk kujenga hoja, bado umeshindwa ku Justify kuwa Serikali inahusika kwa sababu kwa maelezo hayohayo uliyoyatoa bado mtu mwingine angeweza kusema kuwa Maadui zake binafsi Dr. Ulimboka wanahusika kwa 100% nayeye akaonekana ana point zaidi kuliko wewe.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  comrade ngosha ngoja kupambazuke nami nitachangia zaidi kwa sasa sioni vizuri maandishi na nipo mgodini chini. Ila kwenye 24 hr survaillance nadhani uko sahihi sana. Tatizo langu ni kwenye amri na njia ya termination. Huwezi kuwa na amri zinazotoka pande tatu. Uwezekano wa maadui kutumia mkanganyiko uliopo sasa pia upo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Binafsi bado naona waliotumwa kazi na mtoa kazi wote ni mambumbu kabisa hivi hata filamu kama 24 hrs huwa hawaangalii jamani? ama hata kusoma novel za james hadley chase ili kuweza kujua oda zinakwendaje katika tukio kama hili?

  manake kama unauwezo tu wa ma fiction ya movies na vitabu vya kijasusi basi utagundua kwamba serikali inaweza kumdaka huyu mtu ndani ya masaa 24 ya siku. jamani siku hizi tunaona GIS ikitumika katika criminal detection na inawezkana why cant they use it wakafanya suvailensi ya eneo la tukio labda the past 48 hrs? definately wataona ni akina nani walio husika. sasa ukiona wako kimya jua they know nani kaanda hii platform.
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280

  Sounds Kama Kweli.
  That's how the 5th Estate operates.
   
 14. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike! Kiini cha udhaifu wa serikali ni nyie wenyewe! Mnapiga kura kama vipofu na kisha mnalalama kama vichaa! Acheni serikali mliyoipa kura ifanye kazi!! Tulieni! Dumisheni amani na utulivu hadi hapo mtakapopata akili na mang'amuzi mwaka 2015. CCM Oyee!!!
   
 15. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mmeyapata wapi haya? Uchochezi huanza hv hv. Bora ma dr klko ny4e
   
 16. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  " Mgomo wa madaktari, Liwalo na liwe" Mizengo K.P. Pinda 2012
   
 17. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 18. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio utakuwa umechemka kupita maelezo. Niseme kam$a wewe ni mwanausalama its likely ukawa sawa na hao waliofell ktk hiyo mission ya kumumdhuru Dr Uli.

  Umechemka sana kwa sababu mchambuzi ameeleza motives za tukio husika. Nakushauri utueleza motives za hao unaodai kuwa ni maadui wa Dr other than Serikali ili tulinganishe hizo hoja.
   
 19. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,366
  Likes Received: 8,352
  Trophy Points: 280
  Its true
   
 20. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tangu Kikwete kaingia madarakani kila kitu kimefeli, usalama wa nchi ni sehemu iliyo fail badly. Sijui ni kwa kuwa ameweka jamaa zake au kwa kuwa wako busy kutafuta mali lakini itaigharimu sana nchi hii hali. Jeshi la polisi limekuwa kama kikundi cha wahalifu, usalama wa taifa wanashindwa hata kutambua mamia ya wasomali wanaopitishwa kwenye malori kila siku kwenda nchi jirani huku jeshi la wananchi likiangalia tu majirani wakifanya mageuzi ya kijeshi but hatuna fund ku cope. Tutajuta kuchagua viongozi dhaifu wasiojua wajibu wao kwa taifa
   
Loading...