Scotland yard waje kuchunguza tukio la jaribio la mauaji ya Dr Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scotland yard waje kuchunguza tukio la jaribio la mauaji ya Dr Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bolivar, Jun 29, 2012.

 1. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ni kitengo kinachofika kwa kazi hizi cha Uingereza na hata mauaji ya Dr Ouko walifanya uchunguzi hadi Moi alipowasimamisha.

  Hadi sasa ushahidi wa kimazingira unaonesha kuhusika kwa dola na vyombo vyake, kamwe ukweli hauwezi kupatikana iwapo uchunguzi utafanywa na vyombo vya dola.

  Kunahitajika uchunguzi huru tujue ukweli in order to put an end to this
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mnaomba mkoloni aje kuwasaidia? Mtasubiri sana
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Unakumbuka ripoti yao kuhusu kuchomwa moto kwa mabweni ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wa Shauritanga, na vifo vya wanafunzi hao(waliokuwepo siku hiyo bwenini), walipoikabidhi serikalini haijasomwa wala kutajwa hadi leo?

  Kama watakuja, watafanya kazi, lakini mojawapo kati ya hili litakokea:
  a) Kusimamishwa wasiendelea na kazi kabla ya kufika mwisho
  b) kuwasilisha ripoti ambayo itafichwa.
   
 4. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora mkoloni kuliko...!!!!! Angalia nchi zilizotawaliwa kwa mda mrefu zina maendeleo kuliko wewe unayejivunia miaka 50 ya uhuru wa maisha magumu, sijui kwa nini wakoloni waliondoka mapema, kama ndo hivi sababu inauma sana kuteswa na rangi hiyohiyo
   
 5. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Scotland yd wanakuja kwenye utata, hili halina utata wahusika wanajulikana ni dola! Sasa waje kufanya nini?
   
Loading...