DR.ULIMBOKA aachwe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR.ULIMBOKA aachwe...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 29, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Dr. Ulimboka hakulazwa kwakuwa ameanguka kwa presha alipokuwa Bungeni,Hotelini au kwenye Kikao cha Mawaziri.Amelazwa kufuatia mateso makali aliyoyapata kutoka kwa watu 'wasiojulikana'.Bado ana maumivu makali mwilini mwake.Anahitaji muda wa kutulia na kupokea matibabu ipasavyo kuokoa viungo na maisha yake.Kwenye chumba alimolazwa,yawapasa Madaktari tu wamshughulikie mwenzao na kiongozi wao.

  Si vyema kumtembeleatembelea Dr.Ulimboka kana kwamba watu wanakwenda kwenye Maonyesho ya SabaSaba.Zipo sura zikionwa na Mgonjwa zinamtisha.Nyingine zinamhuzunisha.Zipo zinazomkasirisha.Kutishwa,kuhu zunishwa na kukasirishwa kwa mgonjwa mara kwa mara kuna maana kubwa.Kunaathiri matibabu yake.

  Dr.Ulimboka aachwe apokee matibabu.Kwa hali aliyonayo,anahitaji faragha labda tu na familia yake.Dr.Ulimboka havutii machoni kwa sasa.Anasikitisha na kuhitaji maombi ya watanzania wote.Yeye si kiumbe adimu ambacho kinahitaji kuangaliwaangaliwa.Aachwe apate matibabu.Watu wasijitafutie umaarufu kwa kupitia mateso yake makuu.Apone.Na mwishio mwishoni aseme neno moja tu...
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Good idea vuta nikuvute, mpaka kuongea hayo maneno umevaa soksi za Dr. Ulimboka ukaona haya. Asante na watanzania tufuate ushauri huu.
   
 3. M

  MTK JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Umenena, walio karibu nae zaidi wasimamie matibabu na usalama wake kwa karibu sana na sisi wengine tuendelee kumuombea mwenyezi Mungu amrejeshee afya yake haraka iwezekanavyo. Tuheshimu privacy ya Dr. Ulli na maoni ya wataalamu wa tiba ili dakitari wetu apone haraka. Asante sana Vuta.
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu...
   
 5. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu Vuta Bin Nkuvute uko sahihi. Wote walizingatie hili.
   
 6. m

  mchedo Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  ushauri mzuri mkuu, hakika ni ushauri unaofaa.watanzania kila mtu kwa imani yake tumuombee dr.ulimboka. Amefanyiwa kitu cha kinyama.hakika mungu atampigania. Ee Mungu wafichue hawa watu,waaibishe milele,wewe Mungu waweza.amen
   
 7. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  naunga hoja mkono, hajawa kaka kuona yule
   
 8. t

  tupak Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni usalaama wa taifa si lazima tusubiri mungu awaadhibu kinachotakiwa ni kufanya maandalizi ya kupiga kura ipasavyo huko kila mtu ana nafasi ya kutoa adhabu
   
 9. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ok magic fm muiache! Iga utepete
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Nime kubali hoja yako!
   
 11. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ..
  Hapana @vuta nikuvute.. Dr Ulimboka ana Hoja ya kitaifa zaidi kuliko familia yake .. Analazimika Kwa ahueni kiduchu aliyonayo inatosha kuendelea kuongea kila akijuacho kuhusu sakata lake.. Hii ni Kwa usalama wake zaidi..
  Akiachwa hata siku moja pasipo kutembelewa na kutakiwa Hali, itatoa mwanya Kwa Hao 'wasiojulikana' wakamtenda 'kisichojulikana'..
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,285
  Likes Received: 12,998
  Trophy Points: 280
  Inahitajika mil 90 kwa ajili ya kumpeleka India kwani madaktari wamejaribu kusafisa figo zake ila bado anahitaji matibabu zaidi hivyo madaktari wamejichangisha mil 40 lets help our hero in health services
  sorce: taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV
   
 13. J

  Jimy P Senior Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap tumuache apumzike kwa sababu wengine wanatumia kujijenga Kisiasa
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani hilo neno moja hawezi kulisema akiwa kitanda?
   
Loading...