Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jun 28, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  katika mchango wake bungeni leo mbunge wa Korogwe kawatonesha madaktari kidonda! Kasema kama madaktari wamegoma kutibu watu kwa nini wanamtibu dr. Ulimboka? Madam Spika ikabidi amzuie kwamba swala liko mahakamani! Mi nadhani afya yake mgogoro angeishauri serikali yake
   
 3. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Tatizo la waganga wa kienyeji waliofeli darasa la saba! Angesoma zaidi kidogo angekuwa na afadhali.
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kwani wabunge hutibiwa Mhimbili....Hospital yao si iko India au mimi sijui.....
   
 5. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna wengine hawafikirii kwani yeye alipougua alitibiwa muhimbili au india??
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  keshaanza kuchanganywa na tunguri alizozitelekeza huyo!
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Safiii hisia nzito hizi
   
 8. P

  Ptz JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Aisee nimeiona hiyo! Ni aibu sana kwa walompatia kura na aibu kubwa kwa chama chake cha ccm! Madaktari tumemsikia na aombe mizizi yake iendelee kumponya siku akitia tu mguu hospitali yoyote ataipata fresh yake!
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Anakiri kuwa baada ya kuugua amechanganyikiwa,sasa sie amekwisha kosa sifa za kuwa kiongozi? Kwa maana halisi ni kuwa miongoni mwa wabunge wa CCM wapo waliochanganyikiwa
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.[/QUOTE] kichaa anawezaje kuruhusiwa kuingia bungeni, bunge linapoteza hadhi yake kwa kuruhusu majitu hewa kama hili maji marefu, stupid kabisa
   
 11. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kweeeli Akili za kuvuta na Treni ni Noma,kwa mawazo ya Haraka Mh.Nyongani afai kuigwa na Wabunge wengi.
   
 12. m

  mpasta JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 383
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  nina wasiwasi na afya ya kichwa chake,,na hata waliomchagua nao wakapimwe afya ya vichwa vyao
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Dhaifu!
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwahahahahaha aiseeee wabunge wa kibongo bana.....eti kachanganyikiwa bwahahahahaha.....
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Ngonyani(maji marefu)ameanza kuchanganyikiwa?
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwani Madaktari Apollo kule India nao wamegoma? Vigogo wote si wanatibiwa kule?
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nitashangaa kama hatapelekwa Mirembe, amesema mwenyewe amechanganyikiwa!
   
 18. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi nilidhani wale wagonjwa wa milembe nao wametorokea bungeni.
   
 19. combra

  combra Senior Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tokea lini mganga akawa mbunge basi na sisi watanzania ni Madhaifu,kutoka kupiga ramli hadi ubunge kweli waliomchagua nawapa pole
   
 20. k

  kitero JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyeye mwenyewe alipokuwa mganga asipopewa jogoo alikuwa hatibu,kesha pata ulaji anza wivu wake,wangapi walikufa kipindi chake kwakushindwa tuu kumpatia kuku na nazi?
   
Loading...