Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mawaziri na manaibu wao wamekua wakisoma budget za wizara zao bungeni,naomb tu kujua hvi na mark mwandosya pia atasoma budget yake ama inakuaje kwnye wizara yake.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
na Shehe Semtawa DIWANI wa Chama cha Wananchi (CUF) Kata ya Kibada, amesema kauli ya Mbunge wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndungulile, kuwa ni miongoni mwa madiwani wanne waliohongwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zilizosambazwa hapa JF kwamba kuna sintofahamu kati ya CDM na ITV si za kweli na katika kudhihirisha hilo leo asubuhi habari ya Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa kwenda...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Huu ndiyo ukumbi wa bunge la Tanganyika kabla ya uhuru. Hilo jina ndo limeniacha hoi... wakuu. Kwa habari zaidi ingia hapa angalia ukurasa nambari tano! http://www.tanzania.go.tz/bunge/bunge.pdf
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari jamani wadau wa jukwaa la siasa, Wadau najua yaweza ikawa nimekosea kwa namna moja ama nyingine kupost hii khabari hapa lakini nimefikiria kwa kina wapi niiweke ili nipate msaada stahiki...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilikuwa nafikiri baraza la Mawaziri la CDM iwapo watapewa ridhaa ya Wananchi. Haya ndo mawazo yangu. FREEMAN MBOWE - RAIS DR. WILBROD SLAA - WAZIRI MKUU ZITTO KABWE- WAZIRI WA FEDHA TUNDU...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
chazo kimoja cha habari kimebaini kuwa serikali kwa kukilinda chama tawala inadai kuwa serikali haina pesa za chaguzi ndogo kwa madai hayo wanaipa ccm kujiandaa zaidi na kujipanga kiusalama zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda mkuu wa kanda maalum ya polisi, DSM Suleiman Kova ametoa taarifa ya kukamatwa kwa mtu anaesadikiwa kumteka na kumdhuru kiongozi wa jumuiya ya madaktari wa Tanzania Dr. Steven Ulimboka kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bayume Mohamed Hussein (1904-1944) Aliuwawa na Hitler Bayume Mohamed Husen 1904-1944 Je, mmewahi kumsikia Bayume Mohamed Husen/Hussein? Alikuwa ni mcheza sinema na askari wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JAMANI KWA HALI HII TUTAPONA KWELI. WAZIRI WA USALAMA UNADIL NA WATU WAKO IPASAVYO AU NDO MSEMO WA WIZI MTU?! Au NIJUKUMU LA WANANCHI KUNUNUA VITENDEA KAZI VYA POLISI? Mtu umevamiwa,unapiga simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nimekuwa nikifuatilia bunge kwa karibu sana na nimeweza kubaini haya. 1. Wabunge wa CCM wanawaonea wivu wabunge wanaoikosoa bajeti ya serikali na hviyo kwa vile wao wanaogopa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu salaam, Naomba kuwafahamisha nyote kuwa siku ya Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Sengerema katika kikao chake cha katikati ya wiki hii limeazimia wakuu wa idara na vitengo tisa kufukuzwa kazi.Hii ni baada ya bodi ya zabuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgomo wa usafiri ulioikumba manispaa ya moshi na wilaya zake unaweza ukaendelea tena jumatatu baada ya wamiliki wa magari kugomea ushuru wa shilingi 1500 badala yake wanataka kuendelea kulipa sh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Mbeya Mjini John Mwambigija, akiongea na waandishi wa habari katika hotel ya mbeya peak Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Diwani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Bunge letu la Tanzania limekuwa na vitu vikubwa viwili (1) Sehemu ya malalamiko (2) Sehemu ya kusemana vyama vya upinzani na serikali. Hivyo ni vitu vizuri lakini je nani Tanzania anaongelea mbinu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lipo taifa – sitolitaja – ambapo watu wake huliwa huku wanalia na wale wanaowala nao wanaliwa huku wakilia na kuliliana huku na wao wenyewe wakililiwa. Taifa hili - ambalo sitolitaja –...
17 Reactions
41 Replies
5K Views
Tunakumbuka jinsi serikali yetu ilivyojitahidi kutoa msimamo wake kuhusu Libya wakati wa mwamko wa mapinduzi; tulijua kuwa serikali yetu inamuunga mkono Gaddafi na kwa kweli haikupendezwa na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
NEWS Benno Ndulu, Governor of the Central Bank of Tanzania (right) with his counterpart Prof Njuguna Ndung'u, from Kenya. Tanzania may have weathered the storm of the 2008 financial and...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa nilizata hivi punde ni kwamba watetezi wa hakinza binadamu wamewasilisha maombi kwa asasi za kimataifa zinazojihusisha na masuala ya haki za binadamu kuingilia kati mgogoro unaoendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom