Ukumbi wa Bunge Kabla ya 1961.... Freemansons

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,918
1,233
541644_440505175972368_1520636542_n.jpg

Huu ndiyo ukumbi wa bunge la Tanganyika kabla ya uhuru. Hilo jina ndo limeniacha hoi... wakuu. Kwa habari zaidi ingia hapa angalia ukurasa nambari tano! http://www.tanzania.go.tz/bunge/bunge.pdf
 
Sasa naanza kuelewa wapi viongozi wetu wanakorogwa, wanalikoroga na wataendelea kama hawajui nini cha kufanya...
 
Safi sana, sijui ni nani ambaye anamiliki jengo hilo, na sijui ni lini lilipo hamishwa umiliki kutoka serikalini
Kuna mambo mengi nyuma ya pazia! huenda hata wewe mkuu Bujibuji ukiingia maeneo fulani lazima uchakachulike! hahahha
 
Wa ukenyenge ndo maana hatubarikiwi?

Well it was then not any more.....Funguo zao tumeshazinyang'anya ndiyo maana mambo yanaenda ndivyo sivyo...Baraka itele sasa wenye haki kila mmoja inuka sogelea kiti unachodhani kinaku fit. Its a new era and power has changed its hand!
 
Tanzania ni nchi yakifreemanson. Si unaona kilasiku wanakimbiza mwenge? Mwenge ni alama moja wapo ya haya mashetani.
 
Tanzania ni nchi yakifreemanson. Si unaona kilasiku wanakimbiza mwenge? Mwenge ni alama moja wapo ya haya mashetani.
Harafu eti kila uendako watu wanachangishwa tena kwa lazima!! kama hii kitu inamanufaaa why forcing people!! Hili limwenge ni pango la mafisadi nalo. Halina tija!!
 
Back
Top Bottom