Hakuna mgogoro kati ya CHADEMA na ITV

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Habari zilizosambazwa hapa JF kwamba kuna sintofahamu kati ya CDM na ITV si za kweli na katika kudhihirisha hilo leo asubuhi habari ya Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa kwenda polisi na kugoma kutoa maelezo imepewa uzito mkubwa kwenye taarifa yake ya habari.Kiongozi huyo mbali ya kupewa muda mrefu lakini pia ITV imeonyesha kundi kubwa la wafuasi wa CDM likimshangilia Dr Slaa na kusukuma gari lake.Pia ITV jana usiku ilionyesha kwa muda wa kutosha hotuba ya Waziri Kivuli wa sheria Tundu Lissu bungeni.

Source:Habari za ITV
 
Taabu ya kuwa bendera ni kukosa uelekeo, kesho upepo ukibadilika utakuwa wapi?
 
hakuna mgogoro ni sawa ila ITV imekuwa ikishindwa kuonyesha habari mbalimbali za chadema na kama wameonyesha jana na leo ni hizo tuu ila mara nyingi wamekuwa wakizibania habari za CHADEMA na hii ni kutokana na bosi wa ITV kuwa mwanachama wa magamba hivyo kunawakati analazimika kuwabana wahariri na kuwaambia hapana toa habaria za chadema hasa zile zinazoonyesha mambo mazuri yaliyofanywa na CHADEMA. kunawakati wakitoa huwa wanaitoa mara moja tu kwa kifupi na katika marudio hawatoi tena. nadhani hawa ITV nao wanaelekea kuwa chombo cha propaganda cha CCM ndio maana wanalazimika kutorusha habari za CHADEMA.
 
Habari zilizosambazwa hapa JF kwamba kuna sintofahamu kati ya CDM na ITV si za kweli na katika kudhihirisha hilo leo asubuhi habari ya Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa kwenda polisi na kugoma kutoa maelezo imepewa uzito mkubwa kwenye taarifa yake ya habari.Kiongozi huyo mbali ya kupewa muda mrefu lakini pia ITV imeonyesha kundi kubwa la wafuasi wa CDM likimshangilia Dr Slaa na kusukuma gari lake.Pia ITV jana usiku ilionyesha kwa muda wa kutosha hotuba ya Waziri Kivuli wa sheria Tundu Lissu bungeni.

Source:Habari za ITV

Molemo hii habari si ya kuipuuza. Jana mimi nimeangalia ITV ili nione suala laDr. Slaa sijaona na nikiamini kabisa ITV ni lazima tukio hilo watakuwa wamelipata.

Nikirudisha nyuma mkanda, ukiacha M4C ilivyokuwa mikoa ya kusini na kuripotiwa vizuri na ITV hapo kati mahusiano au taarifa za CDM zilikuwa hazipewi kipaumbele kabisa.

Kama hakuna tunashukuru.
 
Last edited by a moderator:
hakuna mgogoro ni sawa ila ITV imekuwa ikishindwa kuonyesha habari mbalimbali za chadema na kama wameonyesha jana na leo ni hizo tuu ila mara nyingi wamekuwa wakizibania habari za CHADEMA na hii ni kutokana na bosi wa ITV kuwa mwanachama wa magamba hivyo kunawakati analazimika kuwabana wahariri na kuwaambia hapana toa habaria za chadema hasa zile zinazoonyesha mambo mazuri yaliyofanywa na CHADEMA. kunawakati wakitoa huwa wanaitoa mara moja tu kwa kifupi na katika marudio hawatoi tena. nadhani hawa ITV nao wanaelekea kuwa chombo cha propaganda cha CCM ndio maana wanalazimika kutorusha habari za CHADEMA.

Ni kweli mkuu, inawezekana na hata kama ikipewa haipewi kama habari muhimu bali ya kawaida tu.

Kwa watu tuliozoea habari za headline ujue ni shida hapo.
 
Molemo hii habari si ya kuipuuza. Jana mimi nimeangalia ITV ili nione suala laDr. Slaa sijaona na nikiamini kabisa ITV ni lazima tukio hilo watakuwa wamelipata.

Nikirudisha nyuma mkanda, ukiacha M4C ilivyokuwa mikoa ya kusini na kuripotiwa vizuri na ITV hapo kati mahusiano au taarifa za CDM zilikuwa hazipewi kipaumbele kabisa.

Kama hakuna tunashukuru.

Mkuu usijali imerushwa vizuri sana leo asubuhi.Nakuhakikishia M4C ya wiki ijayo itarushwa kama kawaida kwa mapana yake.
 
Last edited by a moderator:
hakuna mgogoro ni sawa ila ITV imekuwa ikishindwa kuonyesha habari mbalimbali za chadema na kama wameonyesha jana na leo ni hizo tuu ila mara nyingi wamekuwa wakizibania habari za CHADEMA na hii ni kutokana na bosi wa ITV kuwa mwanachama wa magamba hivyo kunawakati analazimika kuwabana wahariri na kuwaambia hapana toa habaria za chadema hasa zile zinazoonyesha mambo mazuri yaliyofanywa na CHADEMA. kunawakati wakitoa huwa wanaitoa mara moja tu kwa kifupi na katika marudio hawatoi tena. nadhani hawa ITV nao wanaelekea kuwa chombo cha propaganda cha CCM ndio maana wanalazimika kutorusha habari za CHADEMA.

Tunahitaji ITV wawakaribishe wapinzania kwenye DAKIKA 45, tumechoka kuwaona mawaziri wakijifagilia kila mara!!
 
Hakika katika hili nakuunga mkono.Mawaziri wanatumia kipindi hiki kupiga propaganda dhidi ya CDM
 
Back
Top Bottom