Budget ya mwandosya.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Mawaziri na manaibu wao wamekua wakisoma budget za wizara zao bungeni,naomb tu kujua hvi na mark mwandosya pia atasoma budget yake ama inakuaje kwnye wizara yake.
 
Portfolio yake iko chini ya ofisi ya Rais; hivyo basi budget inayomhusu imeishaidhinishwa na bunge!!
 
Kwani wizara isiyo na kazi maalum si na hata bajeti yake inatakiwa isiwe na kazi maalum sasa kwa nini isomwe pamoja na wizara zenye kazi maalum
 
Bajeti yake iko ndani ya ofisi ya Rais kwahiyo imeshasomwa. Asiye na wizara maalum rais anampangia lolote analoona linafaa
 
Atakuja kutusomea kitabu chake cha historia alichoandika

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mawaziri na manaibu wao wamekua wakisoma budget za wizara zao bungeni,naomb tu kujua hvi na mark mwandosya pia atasoma budget yake ama inakuaje kwnye wizara yake.

Yeye ni Wizara isiyo na Wizara Maalum; yuko chini ya IKULU kwahiyo Budget yake Imeshasomwa ikihusishwa na

Budget ya OFISI YA RAIS
 
Back
Top Bottom