Jamani wananchi tujitokezeni kwa wingi kila mara mpendwa mtukufu rais wetu arudipo tukampokee uwanja wa ndege kwa wingi wetu.
Tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele.
hv karibuni kumekuwa kauli kwamba madaktari hawaruhusiwi kugoma eti kwa sababu wamesomeshwa na serikali,naomba kujua je madaktari huwa hawarudishi fedha walizotumia katika masomo kwa bodi ya...
Wakati wa bajeti ya Magufuli wabunge walilalamikia foleni za Dar. Nikajua wamejipanga vizuri
kumuuliza Mama Mtambuka juu ya NHC na ujenzi wa maghorofa POSTA bila nyumba hizo kuwa
na mahegesho...
Thu Jul 12, 2012 10:34pm GMT
* U.S. identifies 58 National Iranian Tanker Company vessels
* Imposes sanctions on 11 entities, four persons
* Identifies Noor Energy as front for Iran oil company...
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.
Kulikuwa na...
UPORAJI WA ARDHI WAWATISHA WABUNGE
na Salehe Mohamed, Dodoma
WABUNGE wamesema serikali inaiandaa nchi kuingia vitani na umwagaji mkubwa wa damu kwa kuendekeza migogoro na uporaji wa...
Wajati akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake,Prof Tibaijuka alisema Serikali haiwezi kuwalindia viwanja wananchi inabidi kila mmjoja alinde kiwanja chake dhidi ya wavamizi.
Kwa mtazamo...
Post navigation
← →
Posted on July 11, 2012 by zanzibaryetu
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja alipozungumza nao kuhusiana...
Amekwenda kukutana na kamati ya bunge ya mambo ya nje , ulinzi na usalama huko. Sijaelewa mantiki hapa maana nafikiri kuna kitu kinaendelea hapa.
Hivi hivi walikuwa wanenda kukutana na...
WAHINDI 30,000, CHINESE 5000 , WATANZANIA 42 MILLION- BADO MASKINI , TUMEJIKWAA WAPI?
privallege tulizonazo WATANZANIA 42 MILLION
1. NDO TUMESHIKA DOLA
2. CHAMA TAWALA NI CHETU NA WAPINZANI NI...
Wana JF kwa naomba kujua kwa nini serikali inaona ugumu kuunda tume huru kuchunguza kutekwa ,kuteswa na kutupwa kwa Dr.Steven Ulimboka? Na pale ambapo serikali imekataa kuunda tume huru ni njia...
Wakati siku za sensa ya watu na makazi zikikaribia, wanachi wenye imani ya dini ya Kiislamu, wamezidi kusisitiza kuwa kama kipengele cha dini hakitawekwa hawatahesabiwa ng'o. Maamuzi hayo...
Wed Jul 11, 2012 7:25am GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, July 11 (Reuters) - A standoff in Tanzania between the government and doctors over pay and working conditions could spread to...
Wadau nina hakika wote tuna kiu ya kujua ukweli ni nini na nani hasa wahusika waliomtesa na kumpiga Daktari wetu Ulimboka. Sasa kwa vile serikali haitaki kama inavyo onyesha kuunda tume huru ya...
Wapendwa wana JF,
Wapalelezi, makanda wa polisi wilaya, mikoa, na maofisi wengi wa jeshi la polisi wanaongoza kwa utajiri, utajiri wao unatokana na kazi ya kulinda uhalifu nchini,umefika muda wa...
We are being bullied, doctors now claim
S
Thursday, 12 July 2012 22:31
digg
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
Striking doctors will hold an emergency meeting here today to...
Huyu mzee vipi jamani! Eti anawataka wananchi wasing'ang'anie kujadili madaraka ya Rais sasa uhuru wa maoni huko wapi? Wananchi wanataka kusawazisha eneo muhimu la taasisi ya Urais yeye anazuia...
"Being president is not about telling stories." Haya ndiyo maneno Mitt Romney kamwambia rais Obama, na hatihati Obama sasa anaelekea kuzamisha jahazi lake. Nani atamfunga paka kengere hapa kwetu...
Anagalia email niliyotumiwa halafu chini utaona nakiwa kutuma kiasi fulani cha fedha hicho ni kwamba ndio wananitapeli halafu iwe imeishia hapo sasa sijui niwafanyeje hawa mazandiki
Hello...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.